Ni baba mchungaji au mbunge! dini na siasa

ifinyo mhididi

New Member
Mar 12, 2016
3
14
Inakuaje huyu anatumia Bendera ya taifa badala ya msalaba. Wadau hii imekaa vipi?
 
Attachments

  • IMG-20160319-WA0000.jpg
    IMG-20160319-WA0000.jpg
    33.7 KB · Views: 56
Demokrasia zilizokomaa kama US, bendera za taifa ziko kwenye madhabahu ya makanisa, masinagogi, na misikiti, Zipo madarasani, vilabuni vya pombe na hata vya bangi, nyumba za wageni, majumbani mwa kila anayetaka kutundika. wengine wana na milingoti mbele ya nyumba zao na benderea zinapepea tu. Kwa kifupi, ni kusisitiza na kutanguliza mapenzi ya taifa lako.
 
Kwa Mungu hakuna taifa, ni ufalme mwingine tofauti kabisa na mifumo ya kidunia.
 
..anaonyesha uzalendo wake tu hapo..sidhani kama kuna ubaya wowote kwani siyo bendera ya chama cha siasa hiyo.
 
Kwa akili yako ulitaka aweke bendera ya chama? Hawa watu wa form four div 0 badala ya kufurahia anaonesha uzalendo wewe unahoji? Ndo maana wengine wanaweka bendera za mataifa ya usa au uk.

Inakuaje huyu anatumia Bendera ya taifa badala ya msalaba. Wadau hii imekaa vipi?
 
Back
Top Bottom