Uchaguzi Zanzibar: NAITABIRIA CCM USHINDI WA 60%

Status
Not open for further replies.

GPTZ

Member
Sep 27, 2015
84
24
Kutokana na wazenji wengi kuamasika na kaulimbiu ya "Hapa kazi tuu "
nidhahiri ccm itaibuka kidedea.
Wengi mnaweza kunipinga lakini
Kubali kataa kwa ccm Magufuli ni madini . Magufuli kaifanya ccm ipendwe mnoooo.
 
Nikitabiri ya kesho nitaitwa mchochezi ila wacha tuje tuyajadili yatakayojiri maana kujadili unayotarajia yatajiri inaweza kuwa nongwa hapa.
 
Kutokana na wazenji wengi kuamasika na kaulimbiu ya "Hapa kazi tuu "
nidhahiri ccm itaibuka kidedea.
Wengi mnaweza kunipinga lakini
Kubali kataa kwa ccm Magufuli ni madini . Magufuli kaifanya ccm ipendwe mnoooo.
Si ilishashinda!!@@
 
Kesho kuna big match Man u Vs Man cty. Waache wafu wazikane kwa wafu. Kudadadeki
 
rafiki yangu wa utotoni alinichekesha, siku moja enzi hizo tukiwa tunacheza michezo yetu ya kitoto, alichepuka na kuelekea mbali kidogo na mahali tulipokuwa...............aliporudi alikuja anashangilia, "nimeshindaaaaaaaaaa, leo mimi ndo mshindi, nimewashinda".
tulibaki kwenye mshangao, mimi nikamuuliza, "kwani tulikuwa tunashindania nini, na mbona wewe ulikuwa mbali na sisi?".
akajibu, "nimemkimbiza balale nikamkamata,"
HAUKUWA MCHEZO WETU SIKU HIYO
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Kutokana na wazenji wengi kuamasika na kaulimbiu ya "Hapa kazi tuu "
nidhahiri ccm itaibuka kidedea.
Wengi mnaweza kunipinga lakini
Kubali kataa kwa ccm Magufuli ni madini . Magufuli kaifanya ccm ipendwe mnoooo.
Ujinga wako ni mtaji kwa ccm...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom