Ongezeko la Joto Dsm

Ongezeko la Joto Dsm

GPTZ

Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
84
Reaction score
24
Hivi nikiwango gani cha joto
(nyuzi joto) kikifikia hapo serikali
Inatangaza hatari?
Kama wenzetu Qatar ,kazi ni saa
Moja hadi saa nne asubh . Mnaingia tena saa kumi jioni.
 
Dear sun, we know that you are the hottest thing in the entire universe. Can you please stop this?! No one is competing with you!!!
 
Hapa bongo ni kuisoma namba tu, jua kali hadi mifukoni.
 
Tanzania mpaka watoto wa viongozi wafe, ndo hutangazwa hali ya hatar
 
Hivi nikiwango gani cha joto
(nyuzi joto) kikifikia hapo serikali
Inatangaza hatari?
Kama wenzetu Qatar ,kazi ni saa
Moja hadi saa nne asubh . Mnaingia tena saa kumi jioni.
Acha uvivu jitume utafanikiwa tu
 
Mbona imetangazwa?!!
Au wewe unataka mpaka usiende kazini ndio uone imetangazwa
 
Back
Top Bottom