Recent content by Gpaghy

  1. G

    JamiiForums Tanzania Ubungo hatuna umeme hadi muda huu Waziri Makamba jitafakari sana

    Wapinzani walituchelewesha sana!!
  2. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hujachanjwa, hupewi huduma

    Umechanganya vipindi
  3. G

    JamiiForums Tanzania Ditopile atua Ngorongoro kuiombea CCM kura na kueleza makubwa anafanya Rais Samia

    Wamefanikiwa sana kwenye Tozo! Vyitu kupanda bei,na kusafiri sana, hilo wamelitelekeza kwa vitendo! Hakika wapinzani walituchelewesha sana
  4. G

    JamiiForums Tanzania Polepole ni kama alisahau kitu kule Sekretarieti ya CCM

    Anatoa ushauri, yeye ana uzoefu wa kupora uchaguzi, na ununuzi wa wapinzani
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Nimekuwa Mbunge miaka 11, ila Rais Samia amefanya mambo sijawahi kuona

    Serikali imeleta sio ya samia, Tozo zetu hizo!! Tozo tutozwe wananchi kusifiwa Asifiwe mmoja tu! Mambo ya ajabu kweli
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na ndoto za nyoka

    Mkuu ndoto kwenye maandiko huashiria shetani, inategemea na ukubwa wa huyo nyoka!! Akiwa mdogo hayo ni mapepo, akiwa nyoka mkubwa mwenye vichwa vingi huyo ni shetani mwenyewe, Hizo ndoto zinakomeshwa tu kwa KULITAJA JINA LA YESU PAMOJA NA DAMU YA YESU KWENYE , ukizipuzia hizo ndoto kifo...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Rais Mtoe Dotto Biteko ili lengo lenu litimie

    Akina msiba walikuwa na cheo gani kwa kuwasema viongozi wastaafu ???? Mbona haukukemea???? Umesahau
  8. G

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru bado kuna Mgao wa Maji

    Wapinzani walituchelewesha mno!!
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei ni tishio kwa maisha ya Watanzania

    Wapinzani walituchelewesha mno
  10. G

    JamiiForums Tanzania Uongozi mbovu ndo unasababisha bidhaa kupanda bei na Kukosa maji na Nishati

    Nauli zimepanda sana!! Wapinzani walituchelewesha sana!!
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kelele za wizi wa mali za umma zimezidi sasa, ni wizi wizi wizi kila mahala

    Wapinzani walituchelewesha mno!!!
  12. G

    JamiiForums Tanzania Rais Samia muwajibishe Gerson Msigwa na Mramba, wameongopa kuhusu ongezeko la uzalishaji umeme

    Akiajibishwa huyo na waziri mkuu Naye awajibishwe??? Viongozi wetu hawa wa sasa ni waongo sana, Hamna wa kumwamini!! Uongo ndo uliowatawala
  13. G

    JamiiForums Tanzania Abbasia ya Ndanda umeme wake 24hrs

    Wakuu habari, Najiuliza serikali Yetu inashindwa wapi?, Abbasia ya ndanda nyenye wakazi wengi tu!! Wana umeme wao wa maji, umeme ni masaa 24, haukatiki, maji yao pia ni safi sana na ni 24hrs hayakatiki! Serikali tunashindwa wapi kuwahudumia wananchi wetu Mimi nafikiri Ifike hatua tufikie...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Miaka sita tangu kuuawa kikatili Kamanda Mawazo

    Hili tukio lilikuwa la kinyama sana, ni moja ya matukio yaliyofanya kuondoa imani yangu kwa jiwe
Back
Top Bottom