Recent content by Goweko

  1. G

    Halmashauri Ya Jiji La Mwanza

    Acha kujaza server ya JF.
  2. G

    NECTA: Hili ni jipu

    Wana JF, Baraza la Mitihani Tanzania mwaka uliopita wa 2015 liliendesha mitihani ya darasa la nne kama ilivyo ada.Lakini mwaka huo wa 2015 ilifanya mabadiliko kidogo katika usahihishaji kwa kuendesha zoezi hilo la usahihishaji kimkoa kwa usimamizi wa moja kwa moja wa NECTA. Hapa Kagera zoezi...
  3. G

    Mwanamke akutwa kwenye paa la jengo la Wizara ya Fedha na Mipango

    Atakuwa sangoma yule kaenda kumrekebishia mtu mambo yake
  4. G

    Utapeli unawatafuna mamia ya wakazi wa Mwanza

    Kuna hao mabosi uchwara wa hapo ni matapeli wakubwa. Walinitapeli laki 4 wanipe kazi. Kuna jamaa anajiita Tinga yeye ni HR wa hapo keshayembea na wasichana na wanawake wengi wanaoomba kazi hapo kwa lengo la kuwasaidia waipate. Kuna mtu wake wa karibu anasema huyu jamaa kesha kanyaga miwaya kwa...
  5. G

    Hivi hii kampuni ya PCSP Mwanza ni matapeli?

    Hawa jamaa ni matapeli wakubwa. Mimi walinipiga laki 4. Nilikuwa nataka kazi hapo. Kuna jamaa anaitwa Tinga ni malaya sana ameshafanya mapenzi na wasichana wengi waliokuja kuomba kazi hapo. Inasemekana kesha kanyaga miwaya maana anakula zile dawa. Kuna huyo Singo halafu kuna jamaa anajiita...
  6. G

    Basi la MWANZA COACH latumbukia mtoni

    Hayo mabasi yatatumaliza watanzania. Yafungiwe tena. Kwani aliyeyaruhusu ni nani? Tanzania ni zaidi ya uijuavyo.
Back
Top Bottom