Recent content by gothoki

  1. G

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa ngamia

    Naomba unielekeze vizuri kwa nan haswa wanapatikana ninahitaji na mimi kama wawili kiongozi
  2. G

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa ngamia

    Umefanikiwa kupata Ngamia ndg? Na kama ndio umepata wap na kwa sh ngap bei ya sasa Naongelea madume wakubwa na majike wakubwa
  3. G

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Ninazo original zake kama bado unazihitaji lakini nikutumie
  4. G

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Habarini waungwana Mwenye nyimbo ya Nitamwandama bwana alienikomboa ule old version hawa ndo naupenda huu uliotoka miaka saba 2013 sijaupenda . Na kuna mwimbo wa zamani sijui waliimba choir gan unaimbwa Yuda alikufa sababu ya kupenda pesa wanadamu wengi tumetawaliwa na pesa pesa inauwaaaaaaaa
  5. G

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    This season madrid fans hakikisheni mna [emoji382] za insulin kucontrol sukari ya mwili [emoji1] [emoji1] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. G

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Aongezwe tena tu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kuangusha uongozi wa BAKWATA?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  8. G

    JamiiForums Tanzania Tigo acheni wizi!

    Hawa kawaida yao yan mimi nina mwaka wananifanyia ujinga huo kila nikiweka salio.....linaisha na ukiwauliza wanasema tigo hadithi nikaaa nafwatilia taratibu nikajua ni michezo yao kuwakata hela watu kilazima Mara ya mwisho nimeongea na customer care wao alinijibu ivo niliongea sikutaka...
  9. G

    JamiiForums Tanzania HALOTEL haifai watanzania tuachane nayo tukatumie TTCL ili tukuze shirika letu.

    Unaeza kununua ttcl vocha kwa tigo pesa kwa iyo sio changamoto snaa kweny swala la vocha
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nimeokota begi lina mil 92.hapa maeneo ya segerea kma unaelekea kinyerezi

    ....it cant be trueeeeeeee tanzaniaa hiii mtu kuokota 92 mil....mmmhhhh ubunuasi kazid kwa kwel
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la mashoga bongo. Tatizo ni nini?

    ....inasikitisha sana hasa huku vyuoni nao wamejaaa
Back
Top Bottom