Nenda kamfulie huyo bibi chupi zake acha uchawa bandia
Kwa hiyo hata wewe huwezi kuona ujinga miaka yote hiyo toka uhuru mnashindwa kuendesha bandali tu?
Kama hamuwezi si mumpe hata kagame ni jirani tunaweza hata kumgomea mambo yake.
Mfumo wa tehama tunashindwa kuununua wenyewe?
Sasa hivi kila mtu huko serikalini anajibu tu baada ya kuona watu wamecharuka na hawataki ujinga.
Hivyo wanaziba viraka kutokana na maoni ya watu keep sha wanataka wachukue point 3 bila kucheza.
Nakumbuka zamani mwalimu nyerere zamani akizinga zanzibana tanganyika kwa kuhofia warabu na sasa wanaletwa chumbani hii ni ajabu kweli?
Kama ndivyo muungano wa nini maana sisi bara hatuna faida nao na kama tume elimika basi hatuhitaji muungano maana upande mmoja haufaidiki nao.
Tatizo hiyo miaka 15 endapo hawatafanya vizuri je hasara kwa nchi si itakuwa kubwa sana?
Kinachotakiwa hapa ni kuweka mikataba yenye maslahi ya kila mwaka, na wapeqe sehemu tu ma sio bandali zote full
Kikeete akaleta wahindi kwenye reli ikafa kabisha sasa wanataka kuuwa bandali na uchumi wa nchi
Kuna watanzania wako kwenye madaraka hata hawajitambui nadhani wapo tayaru kutoa hata roho zao ili zipangiwe jinsi ya kupumua
Kwa kua akirili zao haziwezi kuandaa mazingila ya kupumua wenyewe.
Mshana punguza hasira hiyo ndio maana ya wajanja wa mjini walivyo, hamkutaka washamba sasa watoto wa mjini wanawaonyesha mitaa ilivyo na kwamba nyie mliowashabikia mnarudi kuwa washamba
Hapo zamani nakumbuka mtu alikua akifanya kazi serikalini kisha akaiba mari tunamuita mjanja na asipoiba...
Sasa ukikataaa unasidia nini?
Nyie wenyewe kila mkipata shida mnakimbilia huko kifedha kisiasa na kila kitu sasa mkishaenda wote si lazima ataona yeye ni baba lao
Nadhani ungefatilia usingeuliza hili la ukreni kupiga urusi
Kama angeruhusiwa hata urusi ingekuwa na maumivu mabaya ila wanazuiwa sana na mghalibi na ndo maana siraha za maghalibi hazitakiwi kurushwa urusi kwa kuwa wanajua urusi itasikia maumivu na kuamua kutumia nyukria kwa kisingizio cha...
Lengo la putini ni kurudisha ukreni yote iwe ya urusi na ndo lengo na alishasema yeye ni peter the great.
Na bdo anataka moldova pia.
Romania na poland wangekuwa sio ndani ya NATO nao yangewakuta.
Kuna wazito wameenda kuhakikisha kama kweli amekufa gusa ninuke kachero mbobezi
Maana walidhani yeye hatakufa.
Bado makamba pia wanasubuli kuhakikisha hilo.
Cha kumshauli siku ya kifo chake ajifiche tu au aruke aende kwa watakatifu na maneno yake yatapata uhalali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.