Inaendelea... 02
Suala lingine linalonichanganya ni kuwa kwenye suala la kulala. mimi ndio wa kuamua nilale au nisilale. wakati mwingine huwa najielewa hata usingizini. hata nichoke namna gani ninaweza kuazimia kukaa macho usiku mzima na kesho yake nikaamka nafanya shughuli za kawaida. Zamni...
huwezi kufahamu mzee. ila napata tabu mno, ni kama kuwa macho kwenye jamii ya waliosinzia. kiufupi mimi huwa nina machaguo yote, kwa chochote huwa sina ile ya kuusikiliza moyo siwezi. niko macho mno.
Habari zenu wana jamvi. heshima kwenu wote
Kuna suala hili huwa linanifanya nijione mimi ni wa tofauti sana. yani huwa sijawahi kukutana na aina hata moja ya watu ambao nimeendana nao. jambo moja la msingi ni kwamba siwezi ku-fit in kwenye demo'
hebu ngoja nieleze zaidi. kwanza mimi huwa sina...
Pole. Bila shaka wewe una watoto, na kinachokugusa zaidi ni endapo hata mwanao anaweza kuwa namna hiyo.
Ila nikuambie jambo.
"You are not the only sane man on face of the earth"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.