Recent content by gossiper Master

  1. G

    Waziri Kairuki: Baada ya uhakiki wa vyeti, tutahakiki matumizi ya mishahara kwa watumishi

    Mi mshahara wangu nashindia bar... Saivi nafuatilia cheti cha uhudhuriaji mzuri wa bar.....
  2. G

    Waziri Kairuki: Baada ya uhakiki wa vyeti, tutahakiki matumizi ya mishahara kwa watumishi

    Stupidity,, wahakiki mshahara wangu ili iweje... Wamekosa kazi sasa
  3. G

    Happy birthday Wema Sepetu

    Huwa anabirthday ngapi kwa mwaka??
  4. G

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Temptation of an angel
  5. G

    Nikigombana na mke wangu, anakimbilia kuvunja fenicha

    Leo mpe masaa mawili vitu vyako viwe vimepona... Yakiisha hajatengeneza mtimue then njoo unioe Mimi.
  6. G

    Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

    Hata Mimi nimetotolewa ila nmetokea sayari ya Pluto Hahahaaaa..
  7. G

    Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

    Naenda zangu insta nikadanganyike tena huko maana huku Leo jam.
  8. G

    Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

    Thank mwaka mmoja na miezi Saba ndo yai linatotoa wazungu wenye umri zaidi ya miaka 30???nmedanganyika hapo
  9. G

    Tetesi: Mishahara mipya kwa watumishi wa umma imetoka?

    Sipati picha kamili endapo huyu jamaa atakuwa mwalimu wa kiswahili... Ataharibu sana lugha huyu
  10. G

    Tetesi: Mishahara mipya kwa watumishi wa umma imetoka?

    Umenichekesha sana Mdau... Eti hajira??? Kama waajiriwa wenyewe ndo hao bora serikali iendelee kukaa kimya tu.. Maana kuna uwezekano ikaajiri waajiriwa hewa.
  11. G

    Hudah Monroe na Zarina watunishiana misuli kisa Diamond

    An international PRO what ???? [emoji12] [emoji12]
Back
Top Bottom