Recent content by Gospel Preacher

  1. Gospel Preacher

    Waziri Ummy Mwalimu: Maambukizi COVID-19 ya ndani kwa ndani yameanza, Watanzania wajiandae kwa maambukizi ya Jumuiya

    Mbona kama kuna kitu kinefichwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Gospel Preacher

    Masoud Kipanya unafeli sana

    Mleta mada yaani andika yako tu unaonekana ww ni kada wa chama gani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Gospel Preacher

    Nimelidharau sana gazeti la Mwananchi, kwa habari ya Msigwa wamepotoka

    Mwananchi ilikuwa Zamani. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Gospel Preacher

    Yadaiwa kuna mtu ana CORONA(Covd 19) kalazwa Regency Hospital DSM... Hospitali yasema amebainika hana ugonjwa huo

    Unahisi unapotoshwa katika mambo ya msingi kama haya.? Watanzania nani aliyetulaani jamani Daaa. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Gospel Preacher

    Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Virusi hatari kwa sasa Dunian maarufu kama Corona Virus vimetinga Ulaya kwa kuwashambulia Makocha na wachezaji Athari pia imeonekana kwa Viongozi na taasisi mbalimbali Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Gospel Preacher

    Hatari ya Virusi vya Corona Afrika Mashariki: Watanzania wenzangu naomba tupige kelele kwenye hili

    Ni hatari kubwa sana naomba #Watanzania wenzangu tupige kelele juu ya hili na tusibakie kuzungumzia mambo ya #Uchaguzi na #Siasa ni vema kuangalia hali hii kwa Upana. Ugonjwa huu umeahindikana na wenye technology ya juu. Mungu Ibariki Tanzania;Mungu ibariki Africa. Sent using Jamii Forums...
  7. Gospel Preacher

    Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

    Mask sio issue kumbuka hata Madaktari wanao watibu wagonjwa huvaa Mask na bado wanakufa we unazani hizo mask watavaa siku zote hao wachina wakifika huku watavaa siku zote? Ulisha wahi kuwaza kwa mfani ile nyomi ya kkoo kama ugonjwa ukilipuka nn kitatokea? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Gospel Preacher

    Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

    Wanaharakati sijui wanaongea vitu gani na kuliacha hili jambo la hatari namna hii Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Gospel Preacher

    Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

    Ni muda wa kupaza sauti Serikali ilichukulie hili jambo maanani. Wananchi hatuna amani katika hili. Sijui tufanyeje jamani. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Gospel Preacher

    Tanzania tunaliona hili la Corona, tunajipanga?

    Serikali inabidi iingilie kati huu Ugonjwa unasambaa sana tena vibaya sana. Kwa sababu hatuna nyenzo nzuri za kupambana nao Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Gospel Preacher

    Tudumu katika maombi Mungu aepushe mlipuko wa ugonjwa hatari katika nchi yetu

    Wakuu habari, ni vema kuendelea na maombi juu ya taifa na watu wote kwa ujumla ili mkono wa Mungu usitupungukie katika hili, tubaki salama kama Taifa, na tuwe mbali na Ugonjwa huu hatari ulioanzia Bara la Asia. #LetGodLeadUs. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Gospel Preacher

    MSAADA:Turubai kubwa linahitajika

    Ndugu zangu habari zenu. Naomba kama una uza au una connection na wanapouza maturubai makubwa yale kwa lengo la kuezekea Jengo naomba kujulishwa. Au anayepafahamu hapo kkoo anisaidie natafuta yale makubwa ambayo huwa wanafunikia Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Gospel Preacher

    Natafuta mabati yaliyotumika; nipo Mlandizi

    Wakuu habari zenu, natafuta mabati Used au yale reject kwa ajili ya kuezekea,nimeafiki hayo kwa sababu ya uwezo wangu wa kifedha unavyo niruhusu. Nipo Mlandizi 0655112023 Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Gospel Preacher

    Serikali izibane hotel zote za kulala Tanzania zinaibia wateja

    Hapa serikali ifanye kitu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom