Hatari ya Virusi vya Corona Afrika Mashariki: Watanzania wenzangu naomba tupige kelele kwenye hili

Gospel Preacher

JF-Expert Member
Jan 17, 2018
233
263
Ni hatari kubwa sana naomba #Watanzania wenzangu tupige kelele juu ya hili na tusibakie kuzungumzia mambo ya #Uchaguzi na #Siasa ni vema kuangalia hali hii kwa Upana. Ugonjwa huu umeahindikana na wenye technology ya juu.

Mungu Ibariki Tanzania;Mungu ibariki Africa.
20200228_200829.jpeg

FAE00E63-FB16-4243-AC86-BD7B08A973D1.jpeg

353B8B26-B0A6-462A-9DA9-1749429C3F33.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachina washaingia mtaani mawazo yanawajia kuwatafuta wanauhakika gani kama hawajaambukiza tayari akili nyingine......
 
MAMLAKA gani imetangaza kuhusu huu ugonjwa kuwepo

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app

Wananchi tunapokea taarifa kutoka vyanzo vya habari vinavyoaminika, sasa hivyo vyanzo huwa wanajua wamekusanya habari kutoka wapi na wapi.

Sasa wewe tomaso unayehitaji kujua zaidi hizo habari wamezitoa wapi na wapi yakupasa kuwasiliana na hivyo vyanzo vya habari kuwauliza kuwa hizi taarifa mnazopeleka kwa wananchi mmezitoa wapi jamani...?

Ahsante sana kiongozi. Karibu...!
 
Anasubiri taarifa kutoka kwa slow slow

Sijaona habari yoyote kuwa ni uhakika Zaidi ya tishio tu la Idadi ya wachina wengi kutua kenya na hata hapa wanakuja

Hivi unafahamu namna ya kuchambua habari

USSR
Wananchi tunapokea taarifa kutoka vyanzo vya habari vinavyoaminika, sasa hivyo vyanzo huwa wanajua wamekusanya habari kutoka wapi na wapi.

Sasa wewe tomaso unayehitaji kujua zaidi hizo habari wamezitoa wapi na wapi yakupasa kuwasiliana na hivyo vyanzo vya habari kuwauliza kuwa hizi taarifa mnazopeleka kwa wananchi mmezitoa wapi jamani...?

Ahsante sana kiongozi. Karibu...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka hivyo vyanzo hapa vilivyohakikisha kuwepo kwa ugonjwa sio porojo

USSR
Wananchi tunapokea taarifa kutoka vyanzo vya habari vinavyoaminika, sasa hivyo vyanzo huwa wanajua wamekusanya habari kutoka wapi na wapi.

Sasa wewe tomaso unayehitaji kujua zaidi hizo habari wamezitoa wapi na wapi yakupasa kuwasiliana na hivyo vyanzo vya habari kuwauliza kuwa hizi taarifa mnazopeleka kwa wananchi mmezitoa wapi jamani...?

Ahsante sana kiongozi. Karibu...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Aepushie Mbali Sana Hii Shida Maana
Naona Kama Tunaweza Kwisha Haraka Sana
 
Kenya watatuponza!

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimeshangazwa sana na haya maamzi haya ya kipuuzi na kijinga waliyofanya Kenya! Nzige tu wamewatoa jasho wa Kenya seuze Corona?
Kama Corona Virus itaingia EA basi ni kupitia Kenya kwa nyang'aus! Haiwezekani ndege itoke China na Wachina 239 halafu waruhusiwe kuingia mjini Narobi na kutawanyika bila ya kuwekwa Quarantine of about 14 days! Ati baada ya Wachina kuingia mitaani na Wananchi kulalamika Serikali ndo inawasaka iwaweke kwene Hospital ya Jeshi....!
Hivi hawajui kuwa Kati ya hao Wachina 239 Kuna wengine wamevuka boda na kuingia Tanzania kupitia Namanga,Holili,Horohoro na Sirar? Wengine watakuwa wamevuka kuingia Uganda,Rwanda na Burundi na DRC!
Watawala wetu wanafanya MZAHA NA COVIC-19 tutaisha kama panzi..,.!
 
Back
Top Bottom