Masoud Kipanya unafeli sana

Masoud Kipanya unafeli sana

unprejudiced

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2017
Posts
3,503
Reaction score
2,869
Mtaasisi Mr Denis Diderot aliandika mahali "All things must be examined, debated, investigated without exception and without regard for anyone's feelings."

Katika upweke huu wa joto la Corona huku nchi za watu, unajikuta unapenda kusikia habari za nyumbani. Nami nimejikuta nasikiliza redio Clouds FM.

Masoud Kipanya anajitambulisha bila kujua kama mpinzani na siyo mwanahabari. Hana hoja zaidi ya kutafuta cheap popularity. Mwandishi anapaswa kuchambua kushoto na kulia chini na juu.

Badilika na anza kuwa mwanahabari huru. Sina hata Shida na mwanahabari anayehoji mambo ya msingi. Changamoto ipo pale unapokuwa biased. Vaa uhusika and then after kipindi rudi kwenye itikadi yako binafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piglet, leave Kipanya alone.
You are not fit to tie his shoe laces.
 
Sasa mbona wewe ndiyo umeandika utopolo kabisa.. [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasema nini kwani?
FB_IMG_1549369100113.jpeg
 
Mtaasisi Mr Denis Diderot aliandika mahali "All things must be examined, debated, investigated without exception and without regard for anyone's feelings."

Katika upweke huu wa joto la Corona huku nchi za watu, unajikuta unapenda kusikia habari za nyumbani. Nami nimejikuta nasikiliza redio Clouds FM.

Masoud Kipanya anajitambulisha bila kujua kama mpinzani na siyo mwanahabari. Hana hoja zaidi ya kutafuta cheap popularity. Mwandishi anapaswa kuchambua kushoto na kulia chini na juu.

Badilika na anza kuwa mwanahabari huru. Sina hata Shida na mwanahabari anayehoji mambo ya msingi. Changamoto ipo pale unapokuwa biased. Vaa uhusika and then after kipindi rudi kwenye itikadi yako binafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi ni kada wa ccm, umeshinda
 
Ukimuona mtu Kama huyo ujue kuwa tumebaki na akina Nyerere, kwa sasa watu Kama masoud kipanya wamebaki wachache sana hapa Tanzania tunatakiwa tuwaleee Kama yai

Wewe usimshangae rais kufanya komedi umshangae masoud? Hivi unafikiri kutumia matako Au na wewe ni sukuma jinga, sukuma week?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka atumie makalio kufikiri kama wewe badala ya kutumia kichwa halisi! Ebo! mzima kweli wewe au umetoroka mirembe! kwendaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
KWAHIYO MTOA POST UNAPENDA WATANGAZAJI WOTE WAWE UPANDE WA CHAMA TAWALA KAMA SAM SASALI NA HASSAN NGOMA?
TUNAWAHITAJI WATU WASIO NA UPANDE KAMA MASUDI KIPANYA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom