MSAADA:Turubai kubwa linahitajika

MSAADA:Turubai kubwa linahitajika

Gospel Preacher

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2018
Posts
233
Reaction score
264
Ndugu zangu habari zenu. Naomba kama una uza au una connection na wanapouza maturubai makubwa yale kwa lengo la kuezekea Jengo naomba kujulishwa. Au anayepafahamu hapo kkoo anisaidie natafuta yale makubwa ambayo huwa wanafunikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom