Recent content by gosheni5

  1. gosheni5

    Natafuta kazi jijini Mwanza, nimesoma Business Admistration in Procurement

    Habari wakuu Nimesoma business administration in procurement and supplies, nina diploma natafuta kazi Mwanza hata iwe internship ila wawe wananilipa. Natanguliza shukurani zangu za dhati Mungu awabariki
  2. gosheni5

    Nahitaji shirika kwa ajili ya kazi ya kujitolea

    Hello mkuu na mimi nahitaji hizo nafasi pliiz naku pm inagoma kuja... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. gosheni5

    Kamanda Sirro atakuwa bonge la IGP

    Wewe ni Nabii
  4. gosheni5

    Tulioishi na kusomea Tanga na viunga vyake kwa ujumla

    Jamani mzingani umesoma mwaka gani
  5. gosheni5

    Tiba ya infection kwenye damu mtoto mchanga

    Habari wapendwa, Nina swali, nini kinasababisha infection kwenye damu kwa watoto? Nina mtoto yaani inaenda inajirudia rudi. Tiba yake ni nini ili kuitokomeza kabisa?
  6. gosheni5

    Diploma kwenda Degree

    Tuendelee kusubiri wakuu yaan this is too much now
  7. gosheni5

    Natafuta kazi

    Asante Mungu akubariki asante kwa ushauri pia
  8. gosheni5

    Natafuta kazi

    Nafanya hayo yote najua ipo siku tu Mungu atanijibu
  9. gosheni5

    Natafuta kazi

    Habarini jamani kwanza kabisa naomba msinizodoe mimi ni msichana nina miaka 27 natafuta kazi Mwanza nimesoma business administration nime specialize kwenye procurement and supplies nina diploma natamani nipate kazi ili niweze kujiendeleza kielimu...Mungu awabariki sana
  10. gosheni5

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    He is my teacher amenifundisha nimeumia sana kwakweli yaan leo ni siku mbaya sana kwangu
  11. gosheni5

    Maumivu makali ya kiuno

    Asanteni sana kwa ushauri wenu ni kweli nsishi mbali na mpenzi wangu inaweza kuchukua hata a year cjafanya mapenzi ila juma5 nimepanga niende regency nimuone doctor wa wamama kuhusu ofisini ndiyo kwanza nimeanza kazi nina mwezi mmoja tu...Asanteni sana kwa ushauri
  12. gosheni5

    Maumivu makali ya kiuno

    Habarini wandgu mimi nmbuliwa sana na maumiu ya kiuno haijalishi niko kwenye iku zangu sipo kwenye siku zangu hata nikijinyoosha nasikia maumivu ni mwaka sasa npata haya maumivu nimeshafanya xray nimeambiwa sina tatizo doctor mwingine kaniambia nizae tatizo litaish sijawahi kutoa mimba wala...
Back
Top Bottom