Recent content by Gordon Brown

  1. Gordon Brown

    KY gel kwenye mkoba wa Mpenzi wangu

    Mimi nakushauri uyafiche, akikuuliza ujue matumizi yake ni yakawaida tu, akipiga kimya hesabu umeumia, na atakuwa amenunua mengine.
  2. Gordon Brown

    Numekula mtu (dada) na mdogo wake

    Mimi nampa ushauri kwa hobbies zake ataupenda, aachane na wote hao, amchukue dada yao mkubwa au mdogo wao kama yupo, ETI BEST WANA NDUGU YAO MWINGINE WA KIKE?
  3. Gordon Brown

    Ushahidi wa wizi wa kura

    Mkuu hapa umetuonyesha imani yako.
  4. Gordon Brown

    Rafiki yangu anataka nifanye tendo la ndoa na mkewe!

    Mmmmh Kazi kweli kweli, Hebu tupe wasifa wake kwanza umbo, sura rangi na muonekano wake huyo mke.
  5. Gordon Brown

    CHADEMA kupoteza kura za akina mama, waislamu na vijana Igunga

    Ni kweli huyo mama amekosea, lakini CDM ingeomba msamaha kwa waislam yaishe, mji wenyewe ni mdogo sana ukikosa kura hata 100 ni nyingi sana, dhamira ni kuchukua jimbo kwanini wengi usiwape? au kwakuwa asIli yetu Africa ni wagumu kusema SORRY?
  6. Gordon Brown

    Sijui ananitega au vp!

    Ameshaingia ila kwa style hiyo ya kuchunguzana phonebook, sma nk. mwaka hamtamaliza labda kama unapita tu.
  7. Gordon Brown

    Radio Zetu

    Katika kizazi kijacho kitakuwa hakijui kiswahili fasaha kwa kiasi kikubwa sana, kwani baadhi ya radio zetu zimekuwa mstari wa mbele kuua lugha yetu na kuingiza maneno ya kihuni tuu, sipati picha huko mbele itakuwaje. Hii ni hatari sama na wizara husika imevikalia kimya vyombo vya habari.
  8. Gordon Brown

    Clouds: Acheni kufagilia upuuzi - wewe Diva - Loveness Love unajiaibisha....

    Hana hakiri hata kidogo, muda wote anawaza mapenzi tuuu kudate na foreigners sijui anaona sifa, nasikia katoa seven day JF ifute post za kumsema laa sivyo ata take action. asiambiwe ukweli?
  9. Gordon Brown

    Clouds: Acheni kufagilia upuuzi - wewe Diva - Loveness Love unajiaibisha....

    Tena huyu bint sikujua kuwa hana adabu hata kidogo. Ktk Facebook analalamika eti JF na Cham Cha Wanawake wanamfuatilia maisha yake na vivazi vyake, Jamaa mmoja akajaribu kumrekebisha DUU! ametapika matusi makubwa ya nguoni yaani niaibu hata kuyanukuu hapa. hata mzazi wake akiyaona ni aibu, hana...
Back
Top Bottom