Recent content by googlel2015

  1. G

    JamiiForums Tanzania Tafakuri chokonozi juu ya kiwanda cha Tanganyika Packers

    Inasemekana kiliuzwa kwa Adam jee kipindi hicho. Kwanini baada ya kukinunua huyu mweshimiwa. Aliing'oa machine zote za kuchinjia nyama na kufanya process nyingine na kuacha magofu. Je, kwanini serikali ilikaa kimya na huo ukiukwaji wa sheria za ubinafsishaji. Na kwa anayejua hizo machine...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Silent Ocean China hawapokei tena lose cargo, wanapokea makontena tu

    Pole Mr but kwa ushauri unganeni wafanyabiashara wenye lose cargo ili muweze kujaza container inawezekana .
  3. G

    JamiiForums Tanzania Majigambo ya Mtoto wa Rais na 'Precedents' za Viongozi Watangulizi

    Kimekutouch eee .......
  4. G

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Pasco wa JamiiForums na wapambe wenzake kuhusu mtu wao anayetaka kwenda Magogoni

    Acha kupanic wewe haujui unashindana na nani na inavyoonesha haujitambui
  5. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Chato, Geita - Septemba 20, 2015

    Dah hadi fid Q na bushoke wapo ccm huu mchongo si wa hela ndogo
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kikwete, sasa umemwelewa Sumaye?

    Kaka kweli wewe ndio stone kabisa even ujumbe haujauelewa au.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Magufuli ametumia muda mfupi sana kuivuruga ngome ya Lowassa

    Kweli wewe jinga lao
  8. G

    JamiiForums Tanzania CCM wamekosea kutumia M4C kumnadi Magufuli

    Hahahahah umenifurahisha sana na hayo majibu
  9. G

    JamiiForums Tanzania CCM maslahi inavyokiangamiza chama na kuhatarisha amani ya nchi

    Ni kweli hiki chama kimefanya watanzania tuwe waoga total ndio maana tunashidwa kutetea rasilimali zetu. nipo maeneo ya vijijini kusini huku yani hakuna redio inayoshika kabisa watu elimu ya uraia hakuna na hii ni plan kwa CCM kupata kura kiraisi kwa kuwapa pombe na nyama tuu
  10. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Rest in piece kaka mungu amekupenda zaidi
  11. G

    JamiiForums Tanzania Harakati za miaka 20 za upinzani zinaishia kurasimisha ufisadi!

    Who told you kwamba CCM kuna msafi ngoja upinzani nchi ndio utajua hakuna msafi ndani ya CCM.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kamanda Lowassa ndani ya Singida, Afanya mkutano Manyoni

    Umepanic eeeee
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kamanda Lowassa ndani ya Singida, Afanya mkutano Manyoni

    Mfarisayo unapotea kaka kubali mabadilika hata nje ya CCM kunamadili tuu tena yatakuwa yenye tija kubwa sana kuliko ya sasa ndan ya CCM ambayo asilimia kubwa mnatumia damu za watu.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kamanda Lowassa ndani ya Singida, Afanya mkutano Manyoni

    Kaka unaongea Ukiwa umelewa tilalila pole sanaa
  15. G

    JamiiForums Tanzania Msigwa Atetemesha Iringa kwenye uzinduzi wa kampeni

    Dada umepanic
Back
Top Bottom