Tafakuri chokonozi juu ya kiwanda cha Tanganyika Packers

Tafakuri chokonozi juu ya kiwanda cha Tanganyika Packers

googlel2015

Member
Joined
Aug 25, 2015
Posts
18
Reaction score
4
Inasemekana kiliuzwa kwa Adam jee kipindi hicho. Kwanini baada ya kukinunua huyu mweshimiwa. Aliing'oa machine zote za kuchinjia nyama na kufanya process nyingine na kuacha magofu.

Je, kwanini serikali ilikaa kimya na huo ukiukwaji wa sheria za ubinafsishaji. Na kwa anayejua hizo machine zilipelekwa kiwanda kingine au ziliamishwa kwenda nje ya nchi

 
Back
Top Bottom