Recent content by GOOGLE EARTH

  1. G

    JamiiForums Tanzania UKAWA kufanya Mkutano Jangwani tarehe 26 siku ya Jumapili

    nimependa hii style yao yakuungana (ukawa) ila nawashauri tu wawe waangalifu na wasaliti ,
  2. G

    JamiiForums Tanzania CCM imefikia pabaya mbele ya jamii

    msiwaombeee wenzenu kifo jamani sisi wote ni wapita njia huku duniani
  3. G

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mimi niko babati vijijini natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kutoka mogogoro yeye aje babati mi niende moro kaka yupo anichek kwa namba 0757477171 idara secondary
  4. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wadundana Arusha ndani ya gari la matangazo

    jamani ndugu zangu naumia sana ninapoona ccm inawafanya wtz maborizozo, yaani yanaleta propaganda za kitoto hivi,,mi nilikuwepo kweye hilo gari la cdm la matangazo, hakuna kitu kama hicho, watu hawakupigana wala
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya kadhi ndani ya Katiba - Tanzania

    hiv we jamaa ni wapi?nawazaga akili yako ilivyo ila sipati jibu asey yani kila muda ccm.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Chadema wamtumia salamu ole medeye

    aaaaaaaaaaaaahh mnajidanganya cdm ipo kwa sana tu
  7. G

    JamiiForums Tanzania Chadema wamtumia salamu ole medeye

    fanyeni kazi sasa uchaguzi ummeisha ,kuweni makini na wasaliti,ccm haichelewi kuwahonga
  8. G

    JamiiForums Tanzania CCM, DC, RC wafanya unyama na kusababisha maafa Arusha

    asant:angry::hail:
Back
Top Bottom