CCM imefikia pabaya mbele ya jamii

CCM imefikia pabaya mbele ya jamii

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Sasa sio siri tena,kuwa Chama cha mapinduzi CCM imepoteza mvuto na kinaonekana ni chama ambacho ni adui kwa wananchi walio wengi ,wananchi walio wengi kama si wote wanaichukia CCM na viongozi wake.

Inakuwaje sasa hivi akifariki kiongozi wa CCM awe mdogo au mkubwa wananchi wanafurahia ? Tena na wanawalaani vibaya sana na dua za kuwaangamiza.

Hii ni dhahiri kuwa amani na utulivu inaanza kupotea ,nadhani CCM inajijua kuwa sasa si marafiki tena wa wananchi ,bila ya shaka CCM sasa inatembea na hofu kubwa sana ingawa wanajaribu kufanya kila kitu dakika hizi za mwisho ili kurudisha imani kwa wananchi.

Kinachoonekana ni kama wananchi wamekula kiapo kwamba CCM basi imetosha ,ung'ang'anizi wa CCM ndio sababu kuu anapofariki CCM watu nao huserebuka waziwazi wakionesha furaha ya kufa kwa jinamizi la maendeleo.
 
Na aliye msafi na awe wa kwanza kuchukua mawe na kumpopoa mkuu ikiwa wajua kuwa ni u-msafi.
 
Na aliye msafi na awe wa kwanza kuchukua mawe na kumpopoa mkuu ikiwa wajua kuwa ni u-msafi.
Ki Bible zaidi? OK ondoa kibanzi chako kwanza ndo nami uniambie..... Ccm bwana unga wa ndere
 
Ukweli mtu........binafsi kwa sasa sijui ni Kiongozi gani ndani ya CCM atafariki eti nishike shavu Loh!..........
 
Na yalivyo machawi hata hayafi.

Li mzee kinginge na msekwa toka sijazaliwa nayasikia tu mpka sasa yapo.madarakani.

"Maccm yakifa wala siwezi kulia, nitayatupa mto Kagera yawe chakula cha mamba ×3"
 
msiwaombeee wenzenu kifo jamani sisi wote ni wapita njia huku duniani

Kama wananiua kwa uongo na ubabe uliokithiri me nitawaombea mazuri?
Watu tunapata mlo mmoja kwa siku sababu ni wao,na hapo tunahangaika sana sana ktk utafutaji.WAFE WOTE
 
...napenda siku ije ambayo hakutakuwa na viroboto...
 
mungu tuepushe na gonjwa la EBOLA ila kama kwa bahati mbaya litaingia tanzania basi naomba tena naomaba liwe kwa ajili ya viongozi na makada wote wa CCM.. plz, plz.... GOD wa sisi.
 
muda wowote watatambuwa wamechoka ndani ya nafsi za watanzania wote na ndio utakuwa mwisho wao😡
 
Sasa sio siri tena,kuwa Chama cha mapinduzi CCM imepoteza mvuto na kinaonekana ni chama ambacho ni adui kwa wananchi walio wengi ,wananchi walio wengi kama si wote wanaichukia CCM na viongozi wake.

Inakuwaje sasa hivi akifariki kiongozi wa CCM awe mdogo au mkubwa wananchi wanafurahia ? Tena na wanawalaani vibaya sana na dua za kuwaangamiza.

Hii ni dhahiri kuwa amani na utulivu inaanza kupotea ,nadhani CCM inajijua kuwa sasa si marafiki tena wa wananchi ,bila ya shaka CCM sasa inatembea na hofu kubwa sana ingawa wanajaribu kufanya kila kitu dakika hizi za mwisho ili kurudisha imani kwa wananchi.

Kinachoonekana ni kama wananchi wamekula kiapo kwamba CCM basi imetosha ,ung'ang'anizi wa CCM ndio sababu kuu anapofariki CCM watu nao huserebuka waziwazi wakionesha furaha ya kufa kwa jinamizi la maendeleo.
Kwann unasemea watu,labda kimekosa umaarufu ni kwako tu
 
Back
Top Bottom