Chadema wamtumia salamu ole medeye

Chadema wamtumia salamu ole medeye

Arusha Leo

Senior Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
120
Reaction score
72
Chama cha chadema kimekamilisha uchaguzi katika Jimbo la Arumeru magharibi linaloongozwa na mbunge wa ccm Ole Medeye ,Viongozi waliochaguliwa wameapa kuitokomeza ccm katika jimbo hilo.
 
Nawatakia kila la heri, ushindi ni lazima kwani tayari Sita kaizika CCM hakuna tena anaeitetea hata wanaCCM wenyewe wamechoka ubabe wake.
 
yani ccm wamekuwa kama kuku aliyepigwa kisu akaachiwa kichwa kivyake na kiwiliwili kwake
 
Cdm wachovu tu mbwa hawezi shindana na anayemfuga pesa za uchaguz zatoka ccm kwa sabodo alafu wanatulaghai tu
 
fanyeni kazi sasa uchaguzi ummeisha ,kuweni makini na wasaliti,ccm haichelewi kuwahonga
 
Bye bye magamba tuliwapenda ila ibilisi kawapenda zaidi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
uchunguzi unaonyesha kwamba ndugu ole medeye ni kati ya watu wa mwanzo kabisa kupoteza ubunge 2015 .
 
Kigamboni,Ilala,magu,ngudu,arumeru magharibi,nzega,nkasi,songea mjini,peramiho,nanyumbu ni baadhi tu ya majimbo yaliyowazi hadi sasa kwa chadema,wabunge wake watahamia chadema hivi karibuni
 
Back
Top Bottom