Recent content by Goodsize

  1. G

    JamiiForums Tanzania Gardener/Mtunza bustani na mazingira anahitajika ASAP

    Anahitajika kijana mwenye ujuzi wa kutunza bustani na mazingira yanayozunguka nyumba; kwa kifupi awe na basic education - kusoma na kuandika. Eneo la kazi litakuwa Mikocheni, Dar es Salaam. Tuma ombi lako haraka via PM
  2. G

    JamiiForums Tanzania Brand New Smart phones Deal! Sony Xperia Z1 Compact & Samsung Galaxy S4 Active (water proof)

    These are brand new phones from USA - ''kitu ndani ya Box'' Sony Xperia Z1 Compact goes for tsh. 950,000 only Samsung Galaxy S4 Active - tsh. 850,000 only! Please PM me!
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kabete Nairobi, Mh. George Muchai auawa kwa kupigwa risasi

    Very Sad indeed! ... May they RIP Kabete MP George Muchai shot dead outside Nyayo House in Nairobi. His driver, bodyguard and another passenger also killed. Police say masked gunmen in a Probox trailed them from Westlands
  4. G

    JamiiForums Tanzania Fertility Boost for both women and men are available.

    Wakuu kwanza samahanini kwa kutotoa maelezo na ufafanuzi kuhusu hizi supplements hapo awali. Kwa ufupi hizi supplements ni natural herbs na ziko za wanaume na wanawake. Kwa wanaume - Zinasaidia kuongeza sperm count (wingi), motility (kasi), morphology/shape (muonekano) na pia ubora wa sperm...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Fertility Boost for both women and men are available.

    Hi all, Kwa wale wanaohitaji kuboost fertility kwa njia ya supplements (approved ones) tuwasiliane (PM).
  6. G

    JamiiForums Tanzania Samuel Sitta aunda Kamati ya maridhiano ya kuwasikiliza waliopiga kura za HAPANA

    Mkuu hii iko sawa na wale waliosema "Ndiyoo" ... Hivi kweli hawakuona hata moja baya kwa sura + ibara zake!
  7. G

    JamiiForums Tanzania Tabiri hapa Nchi itakayotwaa kombe la Dunia 2014

    Nertherland!
  8. G

    JamiiForums Tanzania iPhone 5 for Sale!

    Ipo ndani ya box lake pamoja na accessories zote. Imetumika kwa taakribani week 2 tu! Kwa maelezo zaidi/bei naomba tuwasiliane. Thanks
  9. G

    JamiiForums Tanzania Jipatie New iPhone 5 (16GB) na Used Samsun S III kwa bei poa - All are white in color

    Kwa hiyo bei mimi nimeshindwa!
  10. G

    JamiiForums Tanzania Jipatie New iPhone 5 (16GB) na Used Samsun S III kwa bei poa - All are white in color

    Mkuu hakuna mahali nimesema is 64GB...., I wish ungeuliza specification before huja comment!
  11. G

    JamiiForums Tanzania Jipatie New iPhone 5 (16GB) na Used Samsun S III kwa bei poa - All are white in color

    Samsung S3 ni 700,000 only.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Jipatie New iPhone 5 (16GB) na Used Samsun S III kwa bei poa - All are white in color

    Nitachukua 1.1m kwa iPhone 5
  13. G

    JamiiForums Tanzania Jipatie New iPhone 5 (16GB) na Used Samsun S III kwa bei poa - All are white in color

    Kwa wapenzi wa smart phones, deal kwenu/iko wazi. Please let me know!
  14. G

    JamiiForums Tanzania New Smart phones

    Wakuu! habari za jioni. Naomba kuuliza kama kuna yeyote amewahi kufanya transactions/kununua phones ONLINE kwa hii Company called TELECOM ARENA GENERAL TRADE "Omar bin Al Falah - Sales Manager". ( wanadai wako Dubai!) Mwenye ufahamu au experience na hawa watu, please naomba anijuze. Ahsanteni...
  15. G

    JamiiForums Tanzania House keeping/Cleaner (Guy) needed ASAP

    Piga numba hii 222 701 185
Back
Top Bottom