Recent content by Goodluck Mshana

  1. Goodluck Mshana

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hiyo game iliahirishwa…sasa sijui kwenye miiko na taratibu za Beting ikoje..
  2. Goodluck Mshana

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu hamkujipanga?

    Ni moja kati ya mifumo ya kipuuzi kuwahi kutumika nchini…Kwasababu ni mfumo wa Wizi wanaouendesha hawataki wanaoibiwa waujue ukweli!
  3. Goodluck Mshana

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Makato ya Deni la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Mwezi Juni, 2021

    Kwahiyo usipoona mshahara wako utasubiri salary sleep kuthibitisha kwanini haujaingia?
  4. Goodluck Mshana

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutamba, Taxify wahusishwa na Tuhuma nzito

    Hata Kabudi ni intelligent! Discuss
  5. Goodluck Mshana

    JamiiForums Tanzania Majambazi 10 yalijipanga mstari mmoja barabarani usiku kuzuia gari langu lisipite

    Hao walikuwa ni vijana wapuuzi wanaojikana kama Ulinzi Shirikishi/Sungusungu! Wanajifanya Walinzi lakini ukikaa vibaya wanakupiga tukio!
  6. Goodluck Mshana

    JamiiForums Tanzania Ndiyo kateuliwa lakini hapendwi na wengi

    Moja ya watu ninaowachukia ni Mwigulu!
  7. Goodluck Mshana

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli anapaswa kupewa Heshima ya Baba wa Pili wa Taifa la Tanzania

    Akili za MATAGA zimefika ukomo!
  8. Goodluck Mshana

    JamiiForums Tanzania Rais Biden, kwa Afrika anza na Rais Magufuli na Mwinyi wa Zanzibar

    Bull shit!!
  9. Goodluck Mshana

    JamiiForums Tanzania Kuna wageni ambao hawana ustaarabu mezani saa ya chakula

    Aisee nimecheka sana...lakini huo ndio ukweli! Mimi nilipata mgeni last two weeks lakini alikuwa wakipekeee...alikuwa anakuja na Taulo tena akiwa kifua wazi Mezani! Muda wote alikuwa akizunguka na Taulo na bila Vest ndani hata pale ambapo walikuja wageni zake kumtembelea! Hakika nilikuwa na...
  10. Goodluck Mshana

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Mafuta cha TOTAL Mlimani City na unyanyasaji/udhalilishaji kwa wananchi

    Niwashukuru Wadau na JF kwa ujumla! Baada ya uzi huu naona utaratibu umerudi kama zamani! Jana nimepita kufwatilia na kukuta Watembea kwa Miguu wakipita eneo hilo bila kizuizi! Wale Walinzi wa kampuni wenye silaha nao wamepunguzwa kwa asilimia kubwa! Leo tena nitapita kufwatilia utekelezaji!
  11. Goodluck Mshana

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Mafuta cha TOTAL Mlimani City na unyanyasaji/udhalilishaji kwa wananchi

    cariha my dear...nikushukuru mnoo pamoja na Wadau wengine kuniasaidia kupaza sauti juu ya unyanyasaji unaoendelea pale Total! Ni wajibu kwa wenye Mamlaka kulitafutia ufumbuzi swala hili mapema iwezekanavyo! [emoji1431]
  12. Goodluck Mshana

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Mafuta cha TOTAL Mlimani City na unyanyasaji/udhalilishaji kwa wananchi

    Exactly! Inabidi uvuke upande wa kwa Kakobe!
Back
Top Bottom