kk tafuta mda wa kutosha wa kuwa nae, na kongea .Pia jitahid muwe na outing za kutosha coz znaongeza hisia kati ya wapendanao. Zaid ya hapo hebu jitahid kumweka ktk mazingira ambayo we mwenyew utamtaman zaid ya wale wa nje. Kama vp ni busara kumweleza juu ya hisia zako kwake ili yy afaham na...
Wadau, mimi ni mwalimu wa sekondari geita, pale mjini naomba mwalim wa kubadilishana nae mi niende Moshi MC au Moshi DC. Kule kuna fursa kibao ikiwemo biashara ya Dhahabu na nyinginezo. kama uko tayar, au unamjua m2 plz ni-PM

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.