M45
JF-Expert Member
- Aug 20, 2015
- 1,461
- 2,321
Ni fedheha kwa Taifa la Tanzania na Africa kwa Ujumla kama Raia yoyote ataipigia kura CCM katika Uchaguzi wa Mwezi nov Mwaka huu.
Nasema hayo nikiwa na Uchungu mkubwa sana.
Ccm imewanyima watanzania uhuru wa kuhoji hali inayowafanya wengi kuwa waoga.
Ccm inadhalilisha Wazazi wetu ndugu na jamaa kwa kuwapa tishet na kofia cha kushangaza haijawahi hata siku moja kuwapa suruali, sasa ina maana hawa watu wanopewa tishet watembee uchi?