Recent content by Good Father

  1. Good Father

    Hukumu ya kunyongwa kwa Tundu Lissu itakuwa ni doa kubwa kwa vyombo vya usalama

    Hakuna mtu ananyongwa hapo wala kufungwa. Wanampunguza speed tu kwa kumuweko selo kwa muda
  2. Good Father

    Hivi ndivyo tunavocheat, palipo na viatu vya muwewe kuna ndala zangu

    Ndugu msimuliaji nataka nikwambie siku utakayopakwa mafuta utusimulie pia kwa madoido hivi hivi😂😂
  3. Good Father

    Wanawake wanalalamika wanaume wa siku hizi hawafai, lakini wanawalea watoto wao kwa mtindo mbovu zaidi. Hawatafaa kwa lolote.

    Ndo ujinga mnaofanya watoto wanakuwa wajinga pia. Hizo skills za maisha ya kawaida lazima mwanaume awe nazo
  4. Good Father

    SI KWELI Yanga imetangaza kuachana na kocha wake Saed na kocha wa viungo Mustafa

    mbona hii taarifa haipo kokote hata kwenye page rasmi za Yanga?
  5. Good Father

    TRA kumuajiri mke wa Amani Simbayao aliyeshambuliwa Tegeta na kufariki baadae Ili aweze kutunza Watoto wadogo alioachiwa na marehemu!

    Wale askari Polisi waliouwawa Kibiti wengi kwa mara moja vipi wake zao hawajafikiriwa kuajiriwa na Jeshi la Polisi?
  6. Good Father

    Kwanini mfumo wa ukataji tiketi za SGR unasumbua mara kwa mara, who is behind this?

    Moja kwa moja kwenye mada Tangu tuanze kusafiri kwa treni za SGR kumekuwepo na changamoto za hapa na pale. Changamoto huwa zipo lakini tunatarajia kuwe na ufumbuzi na kutokujirudia rudia kwa changamoto ya namna ile ile. Kwenye mfumo wa ukataji tiketi kumekuwa na changamoto ya kudumu, mfumo sio...
  7. Good Father

    Mitandao ya simu imekumbwa na nini hivi karibuni?

    Wakuu habari za leo. Sijui wenzangu huko simu zenu vipi lakini siku za karibuni napata shida sana kutumia huduma za Tigo pesa na Mpesa mara kwa mara huduma haipatikani hasa jioni. Hali hii zamani haikuwepo serious kiasi hiki ikilinganishwa na sasa. Lakini hali ilivyo sioni wala kusikia...
  8. Good Father

    DOKEZO Ufisadi wa kutisha Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kupitia kampuni ya Ongujo Investment

    Mbona haya ni mambo ya kawaida tu kwa CCM tenda zote ndani ya Serikali wanapeana humo humo. Hii nchi umaskini ni wa kudumu tukaze moyo tu
  9. Good Father

    KERO Ushuru wa maegesho umegeuka kuwa wizi usiotumia mabavu wa serikali dhidi wananchi wake

    Juzi niko Lumumba nimetoka kufata gari ya jamaa yangu niko naweka urembo pale wakaja jamaa wa ushuru wa maegesho. Nikawasogelea wakascan namba ya gari wakasema inadaiwa 1,300. hiyo ilikuwa tarehe 01 Novemba, gari ilisajiliwa tarehe 31 Oktoba na iliingia Tanzania mwezi Juni. Lile deni ni la...
  10. Good Father

    Padre aliesema ubaya ubwela kanisani ahamishwaa

    dini ni miradi ya watu sema mwafrika akili kisoda
  11. Good Father

    Wauza mbogamboga ndiyo wanawake wa kuoa

    Wakati wa kuomba kazi kila mtu mikono huwa nyuma subiri apate kazi anaanza hadi kuchelewa na kujibu nyodo wasimamizi wake. Sijui kama tunawasiliana na mleta mada?
Back
Top Bottom