Recent content by Good day to die hard

  1. Good day to die hard

    JamiiForums Tanzania Haya ni masharti ya waganga ili uwe tajiri wakutupwa , je utaweza?

    Hebu fikiria nina pikipiki yng inaingiza +35k kwa siku na ninauwezo waku fanya yoye hayo, ya nini kwenda kwa manga?🇨🇩
  2. Good day to die hard

    JamiiForums Tanzania Sasa hapa utasema ni kosa la baba kumtelekeza mtoto ?

    Ki asili 😒 sipendi watu want uliza maswali😏
  3. Good day to die hard

    JamiiForums Tanzania Hatimaye natangaza kustaafu mapenzi, ni tatizo kwangu

    Ulisema una staafu si ndiyo ? Alafu unaomba mwanamke was nini tena?
  4. Good day to die hard

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ambae nilipambana kwa ajili yake anaolewa na in charge wangu

    Ni kawaida yakutokee , ila siwezi Ni kakwambiya chochote apa
  5. Good day to die hard

    JamiiForums Tanzania Wakuu napita hapa nje ya lodge moja hivi, kuna sauti naisikia

    Waafrika tunakufa mapema , kutaka kujua vitu visivyotuhusu
  6. Good day to die hard

    JamiiForums Tanzania Miguno, vilio, sauti za mahaba ukiwa kitandani

    Hahaha!!! Unasema ukweli mtupu
  7. Good day to die hard

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri maana nataka kuivunja hii ndoa

    VIUMBE MNAO SEMA ETI SIMU NI PRIVATE MNANICHUKIZA HAKI YA... AKUNA KITU PRIVATE NDANI YA NDOA
  8. Good day to die hard

    JamiiForums Tanzania Mijengo ya Mbweni

    Ukweli mchungu: watanzania ninyi mnajizarau sn bila kujitambua, dah!!!
  9. Good day to die hard

    JamiiForums Tanzania Mke wangu huwa ananiwekea chakula kidogo kwenye sahani sishibi, kumuambia naona aibu

    Mijamaa mingine inaogopa wake zao kama majini dah!! Yaani unahisi ukimwambiya ukweli atakumeza mzima mzima, hahahahaha!!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  10. Good day to die hard

    JamiiForums Tanzania Najuta kumsamehe mke wangu, ilikuwa kidogo tu nipoteze maisha. Naombeni ushauri

    Sijawahi ona mtu mjinga wa level 😔 watanzania ninyi wajinga sana, mnasukumwa na hisia za mapenzi kifalafala namna hiyo? Yani mtu akusaliti , alafu atafute kukutoa duniani ! Na bado uombe ushauri? CHAI KABISA😒😒😒😒
  11. Good day to die hard

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kusave pesa yako

    Unapoweka chai mezani, usiwe na sahau maandazi pia.
  12. Good day to die hard

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa 25-30

    Salamu kwanza ; nilikua na swali! Kijana anaetaka kuoa anapaswa kutoa mahari ngapi uko tanzania ?
Back
Top Bottom