Recent content by Gonza

  1. G

    Tigo wameshachemka jiji la mwanza

    Kuna mtatizo ya kiufundi yametokea Mwanza ambapo wateja wetu hawawezi kupiga wala kupokea simu. Kwa sasa wanaweza kupiga Tigo kwenda Tigo. Mafundi wetu bado wanashughulikia kutatua tatizo haraka iwezekanavyo. Samahani kwa usumbufu.
  2. G

    GRAPHIC DESIGNER – Dar-es-Salaam

    Please note the position is no longer vacant.
  3. G

    TCRA, kampuni ya mawasiliano inayoitwa TIGO inatuibia Watanzania

    Dear Customer, Thank you for your candid feedback. It is difficult for us to assist you without further details such as your number and time of occurrence of problem. Please include such information whenever you convey your concerns. Please note that every operator charges for calls directed to...
  4. G

    Web browser ipi bora kuliko zote?

    Nimetumia Internet Explorer, Mozilla, Opera na Rockmelt. Mpaka sasa naona bora Opera lakini zingine zaidi sijatumie. Kama kuna mwingine ametumia zingine naomba maoni yako, web browser ipi bora kuliko zote?
  5. G

    Hatimae g ndani ya jamii forums!! :)

    Asante sana Paka Jimmy, nitawasilisha mchango wangu. Je mtu akitaka kujiunga na team ya JF afanyeje? Mimi ni business graduate na niliandika masters thesis kuhusu Facebook.
  6. G

    Hatimae g ndani ya jamii forums!! :)

    Salaam nyingi ziwafikie wanajimii wote:wave:, Rafiki yangu alipendekeza nijiunge na kwa kuangalia baadhi ya mazungumzo nimeona ni jambo jema kufanya hivyo. Kwa kweli Tanzania tunahitaji kuwa vitu kama hivi vinavyoendeshwa na wazawa na sio kupendelea tu vya kutoka nje. Naungo mkono juhudi za...
Back
Top Bottom