Recent content by Gong32

  1. Gong32

    Ni Mbunge gani unatamani arudi bungeni baada ya Bunge kuvunjwa leo?

    Halima mdee.. anajua kujenga hoja na anachangamsha bunge., nahitaji kumuona zaidi na zaidi
  2. Gong32

    Kwa tulioenda shule, hii kauli ya Trump ilikuwa ya mzaa saana kwa Iran

    mzee mbona kama hujaelewa iyo sentes ya trumpo??
  3. Gong32

    Rockets zitakua zinatengenezwa hapa Tanzania, kwenye huu uzi ntaelezea namna ya ku-manufacture rockets za aina mbalimbali

    Mambo ya uhuru wa maoni ayo.. aya baba andaa na za kwenda mbinguni na motoni nyingine iwabebe kinamwamposa na nyingine watoa sadaka🚀
  4. Gong32

    Mrejesho: Nafanyiwa sexual harassment na msichana wangu wa kazi

    sasa kwa vile umesha maliza swala la uaminifu kwa mke sasa jipongeze kaka
  5. Gong32

    Tanzania yakanusha kuwanyanyasa Kingono Wanaharakati Boniface Mwangi na Agather Atuhaire

    wanaharakati wa Tz wangeweza kufanyiwa ivo vitendo ila naapa hakuja aliyepigwa ata kibao ni waongo alafu wanavozidi na mapress ndo wanachekesha.. unakuta tukio limepita siku kadhaa ila mtu yupo kwenye camera na vidonda vipya kabsa…
  6. Gong32

    Tanzania yakanusha kuwanyanyasa Kingono Wanaharakati Boniface Mwangi na Agather Atuhaire

    kwasababu ukiwaangaliwa wanaonekana waongo.. mimi naijua serikali yangu trust me akuna aliyefilwa wala kuwekewa mavitu nyuma sijui.. yani wanadanganya wameenda far mpaka mtu unapata uvivu kiwasikiliza🚮🚮
  7. Gong32

    Hatari: Wasanii wa Tanzania wanaounga Mkono CCM mbioni kuzuiliwa kutumbuiza Jumuiya ya Ulaya na Marekani

    chadema wanaona EU kama yesu au muhamadi.. wamefungwa akili awataki kuskiliza ata izo hoja zinatolewa wao ni yes men.. sikatai ata ccm wapo hivo ila chadema kumeoza sana
  8. Gong32

    Hatari: Wasanii wa Tanzania wanaounga Mkono CCM mbioni kuzuiliwa kutumbuiza Jumuiya ya Ulaya na Marekani

    EU yenywe meli inazama kwa upande wao.. wamejenga ulaya nzima kwa kumwaga damu sehem mbali mbali kwa kupora na kuiba.. kwasasa ule ushawishi wao umesha potea ni kama watu waliojikatia tamaa baada ya kuaibishwa na trump.. namalizia kusema Tundu lisu atatuuza kwa wabelgiji asubuhi kweupe
  9. Gong32

    Makomandoo wa Korea Kaskazini wamewasili Burkinafaso

    sema nn iyo j35 ipo kama C5 si ndio?
  10. Gong32

    Makomandoo wa Korea Kaskazini wamewasili Burkinafaso

    dah nashkuru Mungu ulinzi kwa Traore unaongezeka.. eeh Mwenyezi Mungu nakuomba umlinde Traore kwani ndio mfano wa kuigwa aliyehaii kwa sasa.. 🤲🏽
  11. Gong32

    Rihanna na A$AP Rocky wanatarajia mtoto wa tatu

    mtu asave hii comment mtakuja kunanbia.. Asap rocky lazima aje kungwa jela tena miama kibao af rihana atabaki mwenyewe.. sijui ni lini ila lazima
Back
Top Bottom