Recent content by Gomy Mfaume

  1. G

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukutana na Walaghai wa Mitandao?

    Natamani hata serikali ifatilie kuhusu hilo..... Nilipigiwa simu asubuhi ya saa 4 nikaitwa kwa jina langu vizuri na nikajua ananifahamu, kwa kuwa namba ilikuwa ngeni nikauliza nani mwenzangu, akaniambia namba zangu ulifuta nikamwambia hapana nimebadilisha simu tu hivi karibuni nikumbushe wewe...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela

    Af ugali wa bure na ni milo mi3 kwa siku 😂
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu anatembea na mfanyakazi mwenzie hadi kamzalisha

    Muhimu uvumilivu, huwez jua huyo mtu anampango gani na huyo dada, labda ni kumchafulia kwako ili huyo dada uachane nae, muhimu ni kuwa umemjua umuulize huyo mkeo vzr muyajenge, kunauwezekano ikawa ni mpango mbaya wa huyo kaka ili muachane, na umekiri mwenyw ni mpole na watu wengi wanampenda...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Fikiria uko hatarini, Unamwita nani kati ya Jason Statham, James Bond, Denzel Washington, Liam Neeson, Rambo au John Wick?

    Jason Statham.....😕 Ila mbona kama James Bond 🤔😅
  5. G

    JamiiForums Tanzania Tumalize utata hapa: Nani mkali kwenye kila eneo kati ya The Rock na John Cena?

    Dwayne Johnson for real 💕
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nani ni nani leo Mtani?

    Allahumma #SIMBA tutafunga In Sha Allah 🤲
  7. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke anamnyima mumewe tendo la ndoa, nini kifanyike?

    Atafute mchepuko, ahakikishe anajua👌
Back
Top Bottom