Recent content by Gololi One

  1. G

    JamiiForums Tanzania Nimefiwa na BIBI

    Pole sana. Kinachotakiwa ni kumuombea dua tu.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Sipo comfortable na salamu za kiswahili

    Kweli zinabore sana salam, nyingi zinapoteza muda jamani tuwe wawazi
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nyani wavamia makazi na kubeba sufuria za chakula kilichopikwa

    Hiyo ndio mebya bana kina kitu kipo Mbeya. Mbeya Oyeeeeeeee......
  4. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ni zaidi ya uchafu

    Hivi muda wa kufungua vyuo bado eeee.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hali ya Lissu ni mbaya na yupo kwenye chumba cha upasuaji

    Atapona kwani mwenyezi mungu ni mkubwa kuliko wanadam.
  6. G

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Kwa uwezo wake mwenyezi mungu atapona tu.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mtekaji wa watoto afariki dunia kwa kupigwa risasi wakati akijaribu kutoroka

    Angetuonyesha kwanza mwenzake ndio afe pumbavu zake huyu.
  8. G

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Habari hii sio nzuri kabisa. Mwenyezi mungu amsadie apone
  9. G

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Mbaya hii habari jamani. Mwenyezi mungu amsaidie apone.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Basi la LIM Safari la Dar - Arusha, laungua na kuteketea

    Tulikuwa pale wanapouza samaki tu ndugu. Yaan Mwenyezi Mungu ni mkubwa.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Swali la Mama Salima Bungeni: Lini serikali itapiga marufuku uingizwaji wa headphone?

    Mhhh. Ngoja nipite kimya kimya tu
  12. G

    JamiiForums Tanzania Basi la LIM Safari la Dar - Arusha, laungua na kuteketea

    Jamani haya magari mimi mwenyewe hili basi la LIM SAFARI lilitaka kutuunguza hapo Ruvu Darajani mwezi wa saba mwaka huu, tulikuwa tunatoka Dar kwenda Arusha, gari lilianza kuwaka moto, wakasema hivyo hivyo ni breki, watu wa nje ndio walianza kupiga kelele dereva asimamishe gari, kwani kulikuwa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana.....

    Mpeleke hospital ndugu.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana.....

    :D:D:D:D:D
Back
Top Bottom