Kwanini uandamane Ndugu yanguMara paaa. Kaaga dunia. Nitaandamana uchi.
♂️naenda zimbobo.
Kwanini uandamane Ndugu yanguMara paaa. Kaaga dunia. Nitaandamana uchi.
♂️naenda zimbobo.
Wewe jiite mzalendo wakati wenzio wana gorofa utaendelea kupanda daladala mpaka mgongo upindeWazalendo tunapita katika kipindi kigumu mno...
Yah... tena saana tu.Tofauti mie nadhani ipo! Hivi Muhimbili hupokea wagonjwa toka nchi jirani pia? (Hili swali langu ni kwa nia safi, nipopoe uone wakati mimi nataka kujuzwa tu)
Bwana kasema nami kwamba mambo yatakuwa mazuri. Shetani alilokusudia, Mungu ataligeuzaMwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Kambi rasmi ya upinzani bungeni mheshimiwa Freeman Mbowe amesema Mhe.Lissu ameumizwa vibaya na yuko katika hali mbaya tangu saa 4 asubuhi hadi sasa yupo kwenye chumba cha upasuaji [HASHTAG]#Nairobi[/HASHTAG].
Chanzo: Redio One
Tundu Lissu afanyiwa upasuaji wa pili
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu Chadema amefanyiwa upasuaji mara ya pili katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya.
Mkuu wa Idara ya Uenezi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Hemedy Ally amesema tangu alipoingizwa katika chumba cha upasuaji saa nne asubuhi leo Septemba 8, hadi saa tisa alasiri alikuwa hajatoka lakini madaktari wamesema upasuaji huo unaendelea vizuri.
“Tangu jana alipofika alifanyiwa ‘stabilization’ ili aweze kukabiliana na upasuaji na zoezi hilo lilifanikiwa vizuri na madaktari wametueleza kuwa hakuna hali yoyote ya hatari na matibabu yake yanaendelea kwa mafanikio,” amesema.
Lissu aliwasili jijini Nairobi jana saa saba usiku akitokea mjini Dodoma katika Hospitali ya Mkoa ambako alipokelewa na timu ya madaktari katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta na kuanza kumtibu katika gari ya wagonjwa (Ambulance).
Wakati huo huo, balozi mbalimbali nchini ikiwamo Ubalozi wa Marekani na Umoja wa Nchi za Ulaya na taasisi za kitaifa na kimataifa zimeendelea kutuma salam za pole kwa Lissu ambaye pia ni Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), ambapo pamoja na mambo mengine wamelaani tukio hilo na kuitaka polisi kuchukua hatua
Lissu alipigwa risasi jana nyumbani kwake Area D, mjini Dodoma wakati akitokea katika kikao cha Bunge cha mchana.
Chanzo: Mtanzania
Aisee mkuu umekurupuka kweli! Wewe unayafahamu maisha yangu au umekariri kila mtu analingana na hali yako duni....Wewe jiite mzalendo wakati wenzio wana gorofa utaendelea kupanda daladala mpaka mgongo upinde
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe mbumbumbu nawe....."hardly praying" haina maana alioikusudia....sahihi ni "praying hard"Kiingereza cha wapi mkuu kakosea wapi
Hardly praying maana yake yupo in serious praying unamkosoa mwenzio wakati umesomea kwenye mti
If you are not a linguist be careful in criticism pertaining to grammar. It may be hardly praying as the person isn't happy, can't do it properly! Perhaps because of being sad, crying or in a critical condition.Mkuu ukiandika "we are hardly praying for you...."means that we are not praying at all or just find it dificult to pray.
Nyoosha sentensi zako au rudi kwenye lugha yetu mama
Sent using Jamii Forums mobile app
This is what we call sacrifice .... mungu akubarikiMungu ninakuombaga mambo mengi sana..hebu hayo Mengine yote yaweke pending kwa sasa..Nakuomba tu umuokoe Tundu Lissu
Unaweza tangulia weweMara paaa. Kaaga dunia. Nitaandamana uchi.
♂️naenda zimbobo.
Aisee tuombe hilo lisitokee, ntabebesha mimbà polpoyMara paaa. Kaaga dunia. Nitaandamana uchi.
♂️naenda zimbobo.