SERIKALI imesema hadi kufikia Oktoba mwaka 2014 karibu vituo vyote vya kuzalisha umeme jijini Dar es Salaam vitakuwa vimekamilika. Vituo hivyo ni pamoja na Kinyerezi One, Kipawa, Gongolamboto na Mbagala. Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema kukamilika kwa mradi huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.