Recent content by Golconda

  1. Golconda

    JamiiForums Tanzania Wachungaji msitumie maneno ya kudhalilisha utu wakati wa mahubiri au semina zenu

    Mkuu, pia unaweza ukashangaa walimu wa primary wapo humo na wanashangilia jinsi mwenzao anavyodhalilishwa.
  2. Golconda

    JamiiForums Tanzania Nimetumiwa ujumbe huu WhatsApp

    Mkuu, hawa jamaa uwa wanatumia taarifa zako binafsi kukushawishi ili wakurubuni. Suluhisho ni kupuuza tu.
  3. Golconda

    JamiiForums Tanzania Nimetumiwa ujumbe huu WhatsApp

    Puuzia tu Mkuu. Utapeli wa kizamani sana, miaka zaidi ya 20 iliyopita. Kipindi hicho watu wengi hawakuwa na ufahamu wa utapeli wa mitandaoni hasa wabongo, baadhi yao waliingia kwenye mitego kama hii.
  4. Golconda

    JamiiForums Tanzania Wazazi tushirikishane maarifa kidogo

    Asante sana Mkuu. Hapa kuna mengi ya kujifunza. Ni jukumu letu kama wazazi au walezi kuwalea watoto wetu vyema ili waje kuleta tija katika vizazi vijavyo. Lakini katika haya yote, tunahitaji kuwa wavumilivu sana katika kuhakikisha watoto wanapokea malezi bora. Tukumbuke usemi huu "Mtoto umleavyo...
  5. Golconda

    JamiiForums Tanzania Angekuwa ni mke wako huyu ungefanyaje?

    Ha ha ha ha ha
  6. Golconda

    JamiiForums Tanzania Angekuwa ni mke wako huyu ungefanyaje?

    Hahahaha
  7. Golconda

    JamiiForums Tanzania Angekuwa ni mke wako huyu ungefanyaje?

    Hahahahahah.....aiseee!! Kama ni tabia yake, basi siku hiyo ingekuwa mwisho kuwa mke wangu. Nampatia talaka sita nyingine ataenda kugawia familia yake. Mtu wa namna hii anadhoofisha ustawi wa familia na ni sumu pia kwenye maendeleo. Kama ni mara ya kwanza, basi nitampatia muda ili nione kama...
  8. Golconda

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Justinian Anatory afariki dunia

    Mungu ampe pumziko la milele.
  9. Golconda

    JamiiForums Tanzania Tupate wasaa kidogo wa kujifunza kijerumani, kiitaliano na kifaransa

    Ha ha ha.....akili ku-mkichwa
  10. Golconda

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Hahahahaha...
  11. Golconda

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Hahahaha....hapo kajikuta wifey kweli kweli na ataenda kusimulia kwa wenzake, kumbe ni headache tu.
  12. Golconda

    JamiiForums Tanzania Wakala Wa Benki

    Hahaha.....hapo lazima ulipe tu huo mkopo. Utapasua hadi na kibubu kabisa umpe jamaa na nauli...hahaha
  13. Golconda

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Chai ni moja ya vinywaji vya zamani zaidi na maarufu zaidi baada ya maji. Chanzo: do.you.know_facts
  14. Golconda

    JamiiForums Tanzania Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

    Hahahahahahah
  15. Golconda

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mmoja ya wamiliki wa mabasi ya Sumry, Humud Sumry afariki dunia

    Apumzike kwa amani.
Back
Top Bottom