Recent content by GoLang

  1. G

    Marekani yatuma wanajeshi 500 na silaha nzito za kivita Saudia Arabia muda wowote Iran kushambuliwa

    Wewe nimekuquote kimakosa, ilikuwa niquote mtu mwingine. ewe
  2. G

    Dah Jamaa ana clip zote za Mazungumzo, Yaan anachagua amsikilize nani aache nani kama Tamthiliya

    Mambo yalianzia hapa: JamiiForums Yalaumiwa kwa Kuvujisha Taarifa za Wanachama Wake
  3. G

    Marekani yatuma wanajeshi 500 na silaha nzito za kivita Saudia Arabia muda wowote Iran kushambuliwa

    Jeff Bezos tu peke yake anaweza kuunda jeshi lake, na kununua au kutengeneza silaha zake iwapo ataruhusiwa na kwenda kuipga Iran. Fuatilia tu missions zake za kulaunch vifaa mwezini na communication satellites 3500.
  4. G

    Marekani yatuma wanajeshi 500 na silaha nzito za kivita Saudia Arabia muda wowote Iran kushambuliwa

    Mkuu unailinganisha USA ya 1980s na ya sasa? Sijui na sijafwatilia ukweli wa unachokisema.
  5. G

    Marekani yatuma wanajeshi 500 na silaha nzito za kivita Saudia Arabia muda wowote Iran kushambuliwa

    Iran wanasupport vikundi kibao usiku na mchana ili viipige Israel (unavijua, sina haja ya kuvitaja), lakini hawajaweza, sasa huwa najiuliza uwezo wa huo mkubwa mnaounadi hapa ni upi hasa?
  6. G

    Marekani yatuma wanajeshi 500 na silaha nzito za kivita Saudia Arabia muda wowote Iran kushambuliwa

    Kama wewe ni mkweli, utakumbuka kuwa mnayoongea sasa hivi ni mneno yaleyale mliyotumia wakati USA inataka kuipiga Iraq.
  7. G

    Wataalamu wa kudukua/ ku-hack simu za wenza wetu tukutane hapa kueleza athari tulizozipata baada ya kujifanya wajanja!

    Here is a related news JamiiForums Yalaumiwa kwa Kuvujisha Taarifa za Wanachama Wake
  8. G

    Mrejesho baada ya kudukua simu ya mpenzi wangu

    Here is a related news JamiiForums Yalaumiwa kwa Kuvujisha Taarifa za Wanachama Wake
  9. G

    TAARIFA: Akaunti ya barua pepe za Zitto kwenye mtandao zimedukuliwa na watu wasiojulikana

    Here is a related news JamiiForums Yalaumiwa kwa Kuvujisha Taarifa za Wanachama Wake
  10. G

    Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

    Kiranga nina majukumu mengine mengi ya msingi zaidi ya kushinda JF na kulumbana na wewe. Kwa hiyo elewa kuwa sijakimbia. Lakini ili uamini kuwa wewe ndio una hoja na kufurahi, tufanye kuwa umeshinda na umeweza kuthibitisha pasi na shaka kuwa Mungu hayupo.
  11. G

    Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

    Kiranga kwaheri, see you when you see me.
  12. G

    Kupata D au E ya physics A level ni kazi kubwa kuliko kupata degree ya biashara au ya arts, je ni kweli?

    Welcome to Open Discussion Forums, The Home of Critical Thinkers! Open Discussion Forums is a place where you can make a big difference, it gives you an opportunity to learn how to think, foster your mental faculties and broaden your scope of knowledge by sharing valuable skills and...
  13. G

    Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

    Welcome to Open Discussion Forums, The Home of Critical Thinkers! Open Discussion Forums is a place where you can make a big difference, it gives you an opportunity to learn how to think, foster your mental faculties and broaden your scope of knowledge by sharing valuable skills and...
  14. G

    Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

    Hiyo proof unayong'ang'ana nayo kaprove classically kuwa ni wrong, huwezi au unabisha? Nani kaleta hii topic Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe? Can you prove that there is no possibility of God in our universe?
Back
Top Bottom