Recent content by Going

  1. G

    JamiiForums Tanzania Ifike mahala Watanzania tuache kusomea ualimu, supply imekuwa kubwa mno kuliko demand

    nyote mupo sahihi ila munaongelea muktadha tofauti, soko la ajira zinatangazwa kidogo kulingana na graduates, lakini uhitaji mashuleni ni mkubwa.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Tupe maoni, ushauri, dokezo: Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum

    Ni jambo jema linalopaswa kuigwa na wizara nyingine, lakini pia kama ingewezekana ingekuwa vyema mkifungua official account ya wizara itapendeza zaidi
  3. G

    JamiiForums Tanzania Tupe maoni, ushauri, dokezo: Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum

    Ni jambo jema lonalopaswa kuigwa na wizara nyingine, lakini pia kama ingewezekana ingekuwa mungefungua official account ya wizara itapendeza zaidi
  4. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye utaalamu na masuala ya dini je ni kweli Quran imeshushwa kutoka mbinguni?

    Mkristo anawezakuwa Phd holder lakini linapokuja suala la dini anakuwa mpuuzi wa kureasoning zaidi ya mwehu.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye utaalamu na masuala ya dini je ni kweli Quran imeshushwa kutoka mbinguni?

    Sasa kama umetoa ushahidi juu ya Mwenyezi mungu kuweza kuyaandika mawe na kumkabidhi nabii Mussa, unashangaa nini juu ya Quran tukufu kushushwa?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Rais kufanya Maamuzi ya Kiserikali katika Sikukuu Kubwa za Kiimani?

    Tena anajisifia eti akili kubwa.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kusema serikali ya CCM ni wezi?

    naunga mkono hoja lakini sharti unielewe mkuu, hivi unahsi itatokea serikali hawatapiga kama wanaopiga hakuna hatua zozote tangia Uhuru? ifike mahali fedha ya umma iogopwe hapo tutaendelea kama Taifa. Anayefanya ufisadi anakula shaba huyo ni sawa na mhaini.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Wizi, ufisadi na ubadhirifu ni maamuzi na matakwa ya nchi yetu. Watanzania msiumize vichwa vyenu

    Dola manake ni chombo kinachoundwa na watu ambao anaweza kuwa wewe, mimi au yule, shida yetu kama Taifa na Afrika kwa ujumla ni UBINFSI. yani upo tayari kula fedha za kununulia madawa hospitali bila shida yeyote.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kusema serikali ya CCM ni wezi?

    Seikali ya CCM inaongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassani ambaye wazi kabisa ameonyesha kuchukizwa na yanayofanyika, hapa jibu sahihi nikuwa watanzania tunakosa uzalendo ninahakika hata ingekuwa CHADEMA kwa muonekano wa viongozi wake hali ingekuwa mbaya zaidi. Shida kubwa na hii ni Afrika kwa...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Uislam ni nini/ Muislam ni nani?

    adhabu ni zaidi kwa anayefaham, hivi unafahm kwanini ukiritadi unaktwa kichwa lakini mkristo haruhusiwi kufanywa chochote zaidi ya kulinganiwa? jibu ni kuwa wewe tayari umeshafahamu haki unaleta kiburi.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Uislam ni nini/ Muislam ni nani?

    ndio, kwanza ndani ya Uislam hakuna sababu yeyote ambayo itakufanya uritad. Otherwise itakuwa ni kiburi na hapo ndipo sheria inapochukua mkondo wake.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Uislam ni nini/ Muislam ni nani?

    lazima tukate kichwa unaritadi unaenda wapi hunafaida humu duniani, kama munapokuwa vitani ukiasi unauwa je mbele ya dini ya ALLAH (SW)
  13. G

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu: Hakuna hata sehemu Moja iliyoandikwa Ukitaka kumkosoa Rais au Serikali mkosoe kwa Staha!

    Ni sahihi, lakini binadamu yeyote anapenda kukosolewa kwa staha, kwahiyo hatkama hakuna palipoandikwa ila Mh. Rais ni vyema akosolewe kwa staha.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kaliba ya Ualimu lazima iheshimiwe

    Ndio walimu tulionao zama hizi, subiri msimu wa kaundikisha daftari la wapiga kura, Yani hadi wewe ndio unaona aibu wao hawajali.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Kaliba ya Ualimu lazima iheshimiwe

    Walimu wenyewe wanatakiwa wabadilike, la sivyo wataendelea kudharaulika.
Back
Top Bottom