Recent content by Goheki

  1. Goheki

    JamiiForums Tanzania Hersi na GSM wamemaliza kazi yao

    Kwani hujui chanzo Cha Haya yote ni Simba ndugu?
  2. Goheki

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Katiba mpya hadi watu wasome waelewe maana ya katiba hata hii tuliyonayo

    Hivi yeye alisomewa wapi Urais?
  3. Goheki

    JamiiForums Tanzania Dotto Biteko: Tusiruhusu viongozi wa nchi yetu kutwezwa utu wao

    Si Bora wao wanatukana kama ni kweli,wao kupigwa Risasi,Kuvunjwa miguu,kufungulia Makesi ya ajabu ajabu,kuharibiwa Mali zao halali,kufungiwa account zao benk,kuanzishwa account fake nk,hatua zipi huchukulia?
  4. Goheki

    JamiiForums Tanzania MO Dewji: Nimetoa Bilioni 3 Kukamilisha Usajili Simba

    Zile 5 b za CAF zimekwenda wapi Sasa?
  5. Goheki

    JamiiForums Tanzania Yanga wazindua jezi yao nchini Malawi

    Kuna Timu,mafundi wa Rangi wapo jikoni kuchemsha Rangi,wapake kwenye jezi na waanike
  6. Goheki

    JamiiForums Tanzania Zakazakazi: Yanga sio Mabingwa mara 29 na Simba sio Mabingwa mara 22

    Itoshe kusema hajui hata anacho hoji,K M.K.M na Malindi zimeingiaje kwenye ligi ya Bara?
  7. Goheki

    JamiiForums Tanzania Kama mnashindwa kuwafunga Yanga katika uwanja wenu wa Chamazi ndio mtaweza kuwafunga Mkwakwani?

    Hivi wakati unachezea kichapo Cha Azam,mfungaji wenu bora alikuwepo?
  8. Goheki

    JamiiForums Tanzania Azam wamejipanga sana fainali ya kesho, nina uhakika 100% Yanga anakaa kesho

    Mashabiki wa Simba ni kama mkataba wa Bandari zetu,Hawaeleweki watakuwa kwa mkopo kushabikia Timu Pinzani dhidi ya Yanga Hadi lini?
  9. Goheki

    JamiiForums Tanzania Kanuni ya mfungaji bora wa ligi kuu NBC inasemaje? Tuwekeeni vifungu

    Na kubalance
  10. Goheki

    JamiiForums Tanzania Kujenga Uwanja wa Mpira Jangwani ni mkakati zaidi

    Yanga Infrastructure Development Plan 2019 Ndugu yangu Jemedari Said Kazumari hebu acha kupotosha umma kwa taaluma isiyo yako. Hebu ngoja tukuelimishe juu ya jambo hili ili records ziweze kukaa sawa kwako na wengine ambao wanaweza kupotosha kwa au kutokuelewa au kwa makusudi wanayojua wao. 1...
  11. Goheki

    JamiiForums Tanzania Kumcheka mtu mwenye medali ya CAF wewe hata huna ya mapinduzi ni kisokorokwinyo

    Hiyo fainali yenu ya Abiola,mlifunga goal ngapi home na away?
  12. Goheki

    JamiiForums Tanzania Tutumie Nafasi hii ya Yanga kuingia fainali kama fursa

    FAINALI YA YANGA KOMBE LA SHIRIKISHO hapa Tanzania, KAMA NCHI TUNAJIUZA VIPI? JE YANGA NYINYI MMEJIPANGAJE? Nionavyo mimi tunatakiwa kuitengeneza hii fainali iwe ni PACKAGE. Isiwe tu kwenda uwanjani kuangalia mpira na kuondoka. Kama nchi, We must go Extra miles. Hii fainali ni bidhaa kwetu, we...
  13. Goheki

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu tuiombee Yanga

    Ni sahihi kabisa kumshirikisha Mungu,maana wengine walishikisha Nguvu za Giza na wakatoka patupu. Mungu ibariki Yanga iweze kusonga mbele
  14. Goheki

    JamiiForums Tanzania FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

    Ndiyo maana kamalizana nayo hapa hapa
  15. Goheki

    JamiiForums Tanzania FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

    Hayo walio ogapa kufungana kwa ku ogapa kukutana na Yanga au wengine?
Back
Top Bottom