Recent content by Gogo lady

  1. G

    Nahitaji msichana wa kupika mgahawani

    nicheck kwa 0787693909
  2. G

    Natafuta msichana wa kuuza Stationery

    yan huu mfumo bado unanipiga chenga, basi kama hujapata nicheck kwa namba hyo 0763035465.
  3. G

    Ukiishi kijijini hupati kazi Utumishi

    yani kwa hapo umenigusa,niliwah kuitwa usaili ckujua hadi deadline kupita mi ndo nakuja stuka daaa!
  4. G

    Natafuta msichana wa kuuza Stationery

    nashindwa kuja pm kwa mfumo huu mpya, bt nipo kinondoni naweza iyo kazi au umeshapata mtu tayar?
  5. G

    Natafuta kazi ya kufundisha vyuo vya mifugo

    namaansha nilikuwa nafundisha chuo cha mifugo ambacho kipo under VETA, huko kgezo ni uwe una elimu ya kuanzia diploma ila masuala ya kusomea ualim hawafuatilii! hvo nahtj kweny vyuo ya namna hyo.
  6. G

    Natafuta kazi ya kufundisha vyuo vya mifugo

    itakuwa wanatoa,sasa ndo mpaka ujue na mara nying inabd uwe umesoma short koz ya teaching
  7. G

    Mtoto wa miaka 9 kutoka USA anakuja kutoa semina ya ujasiriamali na familia Tanzania

    yaan nimecheka hadi machoz,nimekumbka enz hzo nilivokuwa nameza simultenous eqn by general formula daaaa!
  8. G

    Natafuta kazi ya kufundisha vyuo vya mifugo

    Nimesoma diploma in animal production(tengeru~arusha) na nina uzoefu wa kufundisha kwenye vyuo vya veta kwa mwaka 1.
  9. G

    Miezi 2 kitanda kimoja; hakuna kiss, hakuna touch, hakuna hata kunong'onezana?

    pole sana kwa hilo,kitu cha msing ni kumweleza Mungu aliyekupa ndoa maana anaona mpaka sirin(ndan ya moyo) nakuhakikishia atabadilika kabisa pia mambo ya ndoa si ya kwenda kwa majiran maana weng watafurah matatzo yako na kukupa ushaur usiofaa.
  10. G

    Natafuta kazi ya kufundisha vyuo vya mifugo

    Jaman wakuu habarini, mi mdada nina miaka 25 naomba kwa yeyote anaefahamu vyuo/chuo cha mifugo wanapohitaji mwalimu anitaarifu .
Back
Top Bottom