Nahitaji msichana wa kupika mgahawani

Ishemo

Senior Member
Mar 6, 2015
194
127
Habari za jioni ndugu
Nina kirestaurant kidogo
Maeneo ya Ubungo Darajani
Nahitaji msichana Mwenye uwezo na uzoefu kupika vyakula mbalimbali vya kitanzania.
Asiwe anatoka mbali sana
Na awe tayari kuchapa kazi kwa bidii
Mshahara maelewano kuanzia laki 1.2
Kwa maelewano zaidi ni PM
Natanguliza shukrani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom