Ungeweka mafanikio na matatizo na tukafanya malinganisho ndiyo tungejua ya kuwa tuikatae ccm au tuirudishe.
Sasa wewe umeandika kama kwamba hakuna mafanikio yoyote yaliyofanywa na ccm tangia iingie madarakani.
Uandishi wa aina hii ni wa mtu mwenye uwezo mdogo sana wa uelewa.
Anaudhi sana huyo mtoto. Wengi tunajua askari hajisaidii haja ndogo wala kubwa kwa sababu ya staha wanayokuwa nayo wakitaka kujisaidia. Hivyo ukimuona askari anajiasaidia hadharani tena akiwa in uniform lazima ushangae.
Na huyu kuanika shida zake hapa jukwaani sidhani kani ni maadili mazuri kwa...
Wewe kuro uliyetolewa malinda na Nyani halali yako ni mshahara, posho ni hisani tu. Anzisha plan B urahisishe maisha. Kwani watumishi wote wa Tanzania wanalipwa posho?
Ninavyojua mojawapo wa maadili ya askari ni uvumilivu na usiri. Wewe ni askari gani usiye na maadili!!
Wewe huelewi tafsili halisi ya kuongeza mishahara. Ukithibiti mfumko wa bei hakuna athari ya kutoongezeka kwa mshahara. Ukiongeza mshahara na mfumko wa bei ukatokea hiyo siyo tafsili halisi ya kuongeza mshahara.
Elewa Tundu Lissu amezunguka nchi nyingi za ulaya. Huko alikuwa akienda kupiga kopo la msaada kwa ahadi ya kuwalipa akipata U-JPM. La kujiuliza ni kwamba atawalipa nini baada ya kupata urais?
Sema usema, wadanganye uwadanganyavyo na ongopa uongoavyo lakini Raisi ataendelea kuwa JPM.
Hatuko tayati kutomchagua JPM÷
1. Mladi wa SGR usiendelee
2. Mladi mkubwa wa umeme usiendelee
3. Flay over zisijengwe
4. India wakawa wa kwanza kwa mauzo ya Tanzanite Funiani
5. Kenya wakawa wa pili kwa...
Kamwe hatuwezi kuwa na amiri jeshi wa vile. Atakagua vipi gwaride la makamanda wetu wakakamavu. Elewa ulemavu wa kiongozi ni ulemavu wa nchi anayoiongoza. Tuna akili timamu hatuwezi kulemaza nchi yetu kwa kumchagua Lissu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.