Recent content by Gogadi

  1. Gogadi

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Mnasemaje mbona cwaelewi
  2. Gogadi

    JamiiForums Tanzania Zimamoto Updates

    mme wangu, Tanzania yetu ndo hii nimependa huu mjadala nahakika utapata mkuu, omba Mungu maana ndo muweza wa yote kiongozi. Janjawidi...huwa ana mambo aisee, napenda vitu vyake vina uzito aisee.
  3. Gogadi

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    Balozi wa Dodoma...upo kiongozi:thumbup:
  4. Gogadi

    JamiiForums Tanzania Zimamoto Updates

    Janjawidi...umenifanya nichezeshe akili yangu zaidi na zaidi...kuna ukweli happ aisee. Ila hii ndo Tanzania kijana wangu funika tulilinde,tulijenge na tulitetee Taifa letu. Tanzania nakupenda.
  5. Gogadi

    JamiiForums Tanzania Kurudi JWTZ

    Hujui kitu kiongozi...piga kimiya
  6. Gogadi

    JamiiForums Tanzania Kurudi JWTZ

    Mashtaka atakutana nayo kikosini
  7. Gogadi

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    Yupo anajipanga...tulia aje
  8. Gogadi

    JamiiForums Tanzania Kurudi JWTZ

    Siyo kweli mkuu unayoyasema
  9. Gogadi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini siku ya kwanza kufanya ngono?

    Pole sana
  10. Gogadi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini siku ya kwanza kufanya ngono?

    Hahahahaaa aiseee nimefrahi sana kupitia huu uzi
  11. Gogadi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini siku ya kwanza kufanya ngono?

    Mleta uzi ulifikilia nini aisee...hahahahaaa
  12. Gogadi

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    So what...watu wanaongelea swala la ajira wewe unaleta swala jingine...aisee peleka sehemu husika.
  13. Gogadi

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

    Hahahahaaa...ameipata hiyo. Pole yake huyo jamaa
  14. Gogadi

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi kutoka Mahakama

    Wahusika au mwana JF yeyote mwenye taarifa na kazi za mahakama walizotoa tarehe mwezi wa tatu mwaka huu. 1. Je lini watatoa majina ya waliochaguliwa kwenye interview kwa nafasi zote walizozitangaza? 2. Na interview yenyewe itakuwa lini? Ni hayo tu waungwana mwenye kujua tafadhari atuhabalishe...
Back
Top Bottom