Nafasi za Kazi kutoka Mahakama

Gogadi

Senior Member
Nov 15, 2012
121
16
Wahusika au mwana JF yeyote mwenye taarifa na kazi za mahakama walizotoa tarehe mwezi wa tatu mwaka huu.

1. Je lini watatoa majina ya waliochaguliwa kwenye interview kwa nafasi zote walizozitangaza?
2. Na interview yenyewe itakuwa lini?

Ni hayo tu waungwana mwenye kujua tafadhari atuhabalishe hapa.

Naomba kuwasilisha.
 
Mkuu hawa jamaa ndo watoa/watenda haki...so nadhani hili swala wanalishugulikia kwa umakini zaidi.

Tuwape muda wafanye yao waje na vitu makini zaidi...tupo pamoja lakini ngoja waje wahusika.. Gogadi...nimekupoteza sana mkuu wapi ww?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom