Recent content by Godwishes

  1. G

    Chanzo ni Mkwaju wa Stephane Aziz Ki ila mzozo ni Goal Line Technology.

    Kifaa kama Bernard Morrison...natamani angekuwepo tusikungekuwa na hii tashwishi..
  2. G

    Maisha Bora na Mbwa: Jinsi Wanavyotufundisha Kuwajibika, Kuwa na Uvumilivu, na Kuonyesha Huruma

    Mzee Kigunge Gombale Mwilu,uhai wake ulikatishwa na mbwa wake.
  3. G

    Ukiitoa Kilimanjaro Bado Mikoa mingine Tanzania ni maskini

    Ila ninachoona ingawa sio utafiti rasmi Kagera sio mkoa maskini.Huu utafiti wao wakae nao.Kagera sio maskini.
  4. G

    TANZIA Mwanachama wa JF, Ta Muganyizi amefariki dunia

    Pole sana Wanafamilia... Mungu ampokee ktk makao yake Milele
  5. G

    Upungufu wa kinga za kiroho

    Asante sana kwa makala. Mungu azidi kukufunulia mengi tukufaidi
  6. G

    Tabasamu la Tulia

    Mi nawaza hivi Kauli ya ....mikopo ya nchi....ndo inakuondoa kwenye nafasi nyeti ki simple simple...hivi? Aisee Askofu Bagonza alinena kweli tuchunge kauli zetu... Na la masilahi yake limekaaje mtu anapojiuzulu nafasi yake?
  7. G

    Another dilemma

    Appreciating you for the language used,at least artistically,grammatically and semantically convincing to read.(english Medium is at work-bravo) Secondly,Nothing jst happen...wear adulthood as far as ur a men,(University Student...2year...?come on.....!)sometimes things to fall into its places...
  8. G

    Mambo muhimu ya kuzingatia unapoingia mwaka 2022

    Maneno mujalabu.....ahsante Sana. Bahati mbaya kuya maintain...ndo shida inapoanzia..
  9. G

    Hii tabia ya kulipa mishahara kwa mafungu ikomeshwe

    Zamani mishahara ilikuwa Siri Kubwa sana...walikuwa wanakatazwa kusema hadharani au technolojia imebadilika sio siri tena?....salary ikiingia napata stress ya ghafla,sometimes usingizi unakosa.
  10. G

    Tuliyaishi haya zamani yetu, sasa yamebaki kumbukumbu ya kuvutia kama si kuchekesha

    Mtoto akikosea baba anakupiga mpka ulie...ukikaza usilie anaendelea mpka ulie..na ukilia sana bila kunyamaza unaongezewa ili unyamaze....na ukipigwa na mama ,haurusiwi kushitaki kwa Baba..ukishitaki kuwa mama amekudunda Baba anakuongezea....Ilkuwa Raha Sana
  11. G

    Half rey unajua wewe ni mwepesi kuliko kapi

    Aliyesema What goes around must come back around.....aliona mbali.... kaa kimya...na tena unakuta mtoto mdogo mdogo kwenye mitandao anakuwambia kaa kimyaa....bora ukae kimya ni hatari.
  12. G

    Unajua wito wako? Je, unaishi kusudi la kuumbwa kwako?

    Hapo mwisho ume conclude vizuri sanaaa..... Asante
  13. G

    Ukiwa na hizi tabia 9, jiandae kufa maskini wa kutupwa

    Hii ya mwisho hiiii ......umeongea kama vile Baba wetu wa kiroho... Hasa hasa Pombe....ila najionaga kama vile mimi naojaga....tubia tu nne wikend tuu....sasa sijui hapo naendekeza starehe?
Back
Top Bottom