Recent content by Godson Lema

  1. G

    Alichofanya Rais Kikwete Australia ni sahihi?

    Maraisi wengi hufanya hivyo, ila hawakai kwenye official occasion hivi! wanaonekana kwenye misafara, but kwenye mambo ya kiserikali hawaonekani! Lakini hapa Rais wetu kijana kwenye msafara haonekani, ila anaonekana kwenyedhifa! :sick::sick:
  2. G

    Alichofanya Rais Kikwete Australia ni sahihi?

    Tumechoka kusikia mambo ya serikali hii ndio mana tunataka mabadiliko nje ya CCM
  3. G

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Duh yuko juu, lakini si anatumia kabajaji kake, JET, Is very comfortable, asingependa ashuke chini, ingewezekana ni angani mda wote!!!!! Kodi zetu awekea JET mafuta
  4. G

    Happy Birthday Mr President!

    Si ajabu Baba Rizi keshawasha JET kuanza safari!!! Hahahahaha!!!
  5. G

    Lema akwepwa; Atakiwa kuleta ushahidi kwa maandishi siyo kuhutubia!

    Hao CCM ndio mwisho wao umefika, wasome nyakati waanze kujiandaa kukabidhi badara, yasiwakute ya Hossin Bubarck, wataaibika! Danga toto ilishapita, Watanzania wamefunguka macho hawadanganyiki tena!! Peoples' Power ndio fimbo ya mjonge!!! Mapambano yanaendelea, hatukubali kuonewa na...
  6. G

    Tamko la CHADEMA kuhusu Mabomu ya Gongo la Mboto

    Tunategemea kuona hao waliotajwa wanawajibika/wajibishwa na pia isitumike siasa katika jambo hili, maisha ya Binadamu ni kitu cha thamani kubwa sana! tutashangaa kuwaona wakiwa kimya na Boss wao akiendelea kulifumbia macho hili kama lile la Mbagala! Mapambano bado safari ni ndefu!! PEOPLES...
  7. G

    Lema akwepwa; Atakiwa kuleta ushahidi kwa maandishi siyo kuhutubia!

    Mtu mzima kuomba radhi kuwa nilikosea ni jambo la busara zaidi na hekima!! Spika akiri tu pale alikosea mambo yanaisha, na ataonekana muungwana zaidi! Aliombwa muongozo wa Spika yeye kahukumu mtu katukana!!!!!!!! Chadema tupambane lazima kieleweke!!!
  8. G

    Je watanzania bado wana tumaini na DR.Slaa?

    Bado tunamatumaini makubwa sana na DR Slaa, coz yeye ndiye Kiongozi wa mapinduzi unayaona bungeni
  9. G

    Waziri Mkuu amelidanganya bunge na watanzania wote

    Alilofanya Mzee pinda halishangazi sana kwa sababuu ametumia principal ya vita "IF YOU CAN'T FIGHT THEM JOIN THEM" Wakati alipokuwa mtoto wa mkulima alijitahidi kuwa mmkweli hadi analia bungeni kwa sababu ya machungu, Lakini sasa sio yule tena, ameshkuwa upande wao zamaniiiiii!!! sijui labda...
  10. G

    Tamko la raisi juu ya yale ya Arusha ni lipi?

    Yuko mapumzikoni, anakula maisha, alishachakachua, then anajirusha, wa TZ mtakufa na dhiki zenu! Yeye huyoo anakula maraha
  11. G

    Habari katika picha: Kilichojiri Arusha Jan 5, 2011

    Haya ndio mapinduzi halisi! Katu hatutaogopa vitisho vya JK na Police wake!
  12. G

    Mtizamo wa Bloga: Uamuzi wa CHADEMA Kususia Hotuba ya Kikwete Bungeni

    Kwanza mimi naung Mkono walichofanya CHADEMA 100%. Unapopinga jambo inabidi kufanya kwa vitendo, na walichofanya wanaharakati wa CHADEMA wamewaonyesha wachakachuaji kuwa hawakubaliani na fikra na mawazo yao hata kidogo. Na huo ni mwanzo tu, tunawapa taarifa wajipange vizuri mbeleni mambo...
  13. G

    GE2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    Mgombea anaefaa kuwa Rais ni Dr. Wilbrod Slaa. Sababu! Sere ya elimu Bure pamoja na kubadilisha Katiba na kupitia upya mikataba wa wawekezaji ili kuondoa aina yeyote ya ukandamizaji au wizi uliofanyika wakati wa kusaini mikataba hiyo. Lema
  14. G

    Hi, am a new member!

    Hallow guys on Jamii!!! Is real great that Mr. Slaa is going up! Let vote him every day. Lema
Back
Top Bottom