Je watanzania bado wana tumaini na DR.Slaa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je watanzania bado wana tumaini na DR.Slaa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PAMBANA, Feb 15, 2011.

 1. P

  PAMBANA Member

  #1
  Feb 15, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu watanzania na wanaJF naomba kuuliza swali lifuatalo " Je ni kweli bado watanzania wana tumaini kwa DR.Slaa kuwa rais wao kipindi kijacho?"
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,119
  Trophy Points: 280
  Sisi sio Wasemaji wa Watanzania, labda uulize hali ya kisiasa inaashiria nini, kama ni hivyo, basi jibu ni kwamba SLAA for LIFE, usipende ku-generalize mpwa....
   
 3. G

  Godson Lema Member

  #3
  Feb 15, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado tunamatumaini makubwa sana na DR Slaa, coz yeye ndiye Kiongozi wa mapinduzi unayaona bungeni
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hapana tunaaamini JK ataongezewa muda aendelee kuwa raisi wa tanzania!
   
 5. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
   
 6. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,604
  Likes Received: 4,723
  Trophy Points: 280
  Dr. Slaa ndiye rais wa watu, JK ni rais wa NEC na TISS. Tuna imani kubwa na rais tuliyemchagua japo hayupo ikulu .
   
 7. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Dr Slaa ndiye kiongozi chaguo langu.
   
 8. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Mimi na familia yangu tumemchagua Dr wa kweli bwana Slaa.
   
Loading...