Recent content by Gods grace

  1. G

    JamiiForums Tanzania Naacha buku 15 daily nakuta ugali na dagaa

    Jamani cku hizi vitu vingi viko juu sana! Samahan mnaishi wapi kwani???
  2. G

    JamiiForums Tanzania Imekuwa matatizo sasa...

    Mwombeeni tu kwa Mungu muweza wa yote! Yupo kwny ukuaji huyo ataacha mwenyewe mi kakaangu mpaka ilifikia tukahisi amerogwa maana yy alikua zaidi ya huyo bt kwa huruma za Mungu aliacha mwenyewe!
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mke kanisusia nyumba, kaniacha na house girl

    Tatizo mpendwa hujasema ni kwann kaondoka mana c rahic mtu aache nyumba yake bila sababu! Mna ugomvi au ni nn??
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nikitembea na mwanamke mwendo unabadilika...

    Teh teh teh teh iseee hii kali duh
  5. G

    JamiiForums Tanzania Learning to love..ts so beautiful!

    Nice story!! Nasubiria muendelezo..........
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nimwambie au ninyamaze? Nimechanganyikiwa

    Ingawa itamuuma sn mdogo wako ila ni bora akujua ukweli! So we mwambie tu.......
  7. G

    JamiiForums Tanzania Hodii!

    Asante Kabanga!
  8. G

    JamiiForums Tanzania Hodii!

    Naomba kuwa miongoni mwenu wapendwa!!
Back
Top Bottom