Recent content by Godlove jaxon

  1. Godlove jaxon

    Kutoka viwanja vya Sinoni-Arusha: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Okt 8, 2015

    DAH....jana tulikinukisha sana sijawahi kufurahi kama jana viva ARUSHA yetu viva RAIS LOWASSA
  2. Godlove jaxon

    Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

    Salam wanajf Kuna ndugu yangu kachaguliwa SUA Agrobussiness kwa mujibu wa profile yake ya TCU inavyoonyesha ila jina lake halipo kwenye majina ya first batch selection yaliyopo kwenye website ya chuo hivyo amebaki njia panda hajui afanyeje msaada wa mawazo wanajukwaa
  3. Godlove jaxon

    MSAADA;-Amechaguliwa SUA ila Kwenye Selection hayupo

    ok ngoja niongee nae mkuu kwa hiyo kumbe ndivyo hua mambo yalivyo mkuu benzema9
  4. Godlove jaxon

    MSAADA;-Amechaguliwa SUA ila Kwenye Selection hayupo

    Nieleweshe vizuri mambo ya elimu sina uelewa nayo kwa hyo kama tcu washamchagua ajiandae kwenda tu hata kama kule jina halijatokea au kwa jinsi nilivyokuelewa
  5. Godlove jaxon

    MSAADA;-Amechaguliwa SUA ila Kwenye Selection hayupo

    Salam wanajf Kuna ndugu yangu kachaguliwa SUA Agrobussiness kwa mujibu wa profile yake ya TCU inavyoonyesha ila jina lake halipo kwenye majina ya first batch selection yaliyopo kwenye website ya chuo hivyo amebaki njia panda hajui afanyeje msaada wa mawazo wanajukwaa
  6. Godlove jaxon

    Mara Matokeo Jumatatu mara Jumatano. ....jumatano si ndo leo sasa

    Spleen ehh tupe basi habari ikaweje mbona hakuna dalili?
  7. Godlove jaxon

    Mara Matokeo Jumatatu mara Jumatano. ....jumatano si ndo leo sasa

    spleen ehh tupe basi habari ikaweje mbona hakuna dalili?
  8. Godlove jaxon

    Matokeo ya kidato cha nne yafutwa hii ndo bongo bwanaaa...

    Serikali leo bungeni kupitia tume ya waziri mkuu imefuta matokeo ya kidato cha nne na kusema kuwa mitihani itasahihishwa upya SWALI LANGU NI:> "*KAMA WATASAHIHISHA MITIHANI HIYO UPYA MATOKEO YATAKUWAJE KWANI WALE WALIOKATA RUFAA NA KUSAHIHISHIWA MBONA MATOKEO YAO HAYAKUBADILIKA, NA KAMA...
  9. Godlove jaxon

    Joshua Nassari amjibu Mwigulu Nchemba

    kampiga nani ahaa kumbe kampiga waziri mkuu ndo maana aliliaa poleni sana ccm chama cha majambawazi
  10. Godlove jaxon

    mwanafunzi aliyemaliza udsm

    ah kweli kwel fulu majungu kwanza huo ni wizu jinsi anavyocheza na internet kwa we mwenyewe hi thread umeiandika masaa ndo ukaipost kwenda huko jinga hilooo
  11. Godlove jaxon

    Swali gumu

    Ntapeleleza kuwajua wezi wangu
  12. Godlove jaxon

    Wizara ya Elimu yaja na mpango wa kushusha alama za ufaulu kuingia Form Five!

    hivyohivyo kwa mtindo huo kwenye mabano a.level hufai kabisaa
Back
Top Bottom