Recent content by Godisgood2015

  1. G

    JamiiForums Tanzania Two Indian police suspended over Tanzanian student attack

    Dah umechelewa kujua ..........hapa kwetu kafukuza karibu 80% ya staff wake kisa akuharifiwa ujio wa mkuu sasa linacomplain kuzidiwa kazi
  2. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemzuia mke wangu kupanda lift ya jirani, lakini amekaidi

    mwachie gari wewe ukomae na public transport .......... pia si kila mwanamke ni maharagwe ya Mbeya ondoeni hizo fikra kichwani mwenu
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wabunge wavurugwa mkopo magari mil.90/-

    Duh
  4. G

    JamiiForums Tanzania Wenye Mavogue wote sasa waangaliwe Tax paying records

    Elimu haishii kufanya na kufaulu mitihani
  5. G

    JamiiForums Tanzania Siri ya waliotumbuliwa NIDA yaanikwa

    uko dunia gani ?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wenye Mavogue wote sasa waangaliwe Tax paying records

    Tukifikiria zaidi tutamuelewa mtoa mada ......... Binafsi nimeelewa ......serikali yetu iongezee tax base yake tu wote tutaguswa
  7. G

    JamiiForums Tanzania Tunapocheka Wanapolia, Tusisahau Tutaacha Kucheka na Kuanza Kulia!

    tule jasho letu halali
  8. G

    JamiiForums Tanzania Tunapocheka Wanapolia, Tusisahau Tutaacha Kucheka na Kuanza Kulia!

    Tutanyooka tu
  9. G

    JamiiForums Tanzania Hivi wabunge wa CCM wako kwa ajili ya maslahi ya wananchi au ya Chama?

    Personally CCM wananikwaza sana hata kama sikuwachagua .......... Mr President why this minister ? Yaani katika CCM wooooooooooooooooooooooooooooote umemuona huyu anatufaaa
  10. G

    JamiiForums Tanzania Bunge laahirishwa ghafla, ni baada ya Zitto kuomba Muongozo

    well said
  11. G

    JamiiForums Tanzania Bunge laahirishwa ghafla, ni baada ya Zitto kuomba Muongozo

    Nashauri kama gharama ni kubwa waruhusu private media warushe live
  12. G

    JamiiForums Tanzania Masikini Dr. Slaa, Nyumba yake yapigwa mnada

    Inawezekana kwa kweli kwa imani yangu ndogo najua yale mafuta wanayopakwa wakipewa upadrisho ni kiapo cha maisha na Mungu .....Mungu amsamehe maana sasa naona kama dah Ila mzee ana pesa ataikomboa tu
  13. G

    JamiiForums Tanzania Tulivunja mahusiano na Israel, we gained nothing, then we lost all

    Kweli kabisa Inawezekani elimu hii sina ebu nielekeze vizuri nielewe hata kwa reference tu
Back
Top Bottom