Recent content by Godfreymkolokoti

  1. G

    Tangazo jkt

    TANGAZO. JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) LINAWATANGAZIA VIJANA WOTE WANAOTAKIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWEZI SEPTEMBA KUWA WANATAKIWA KURIPOTI VIKOSINI TAREHE 13 SEPTEMBA 2014 BADALA YA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014. VIJANA WANAOTAKIWA KURIPOTI NI KAMA IFUATAVYO:- 1.WALIMU...
  2. G

    Ligi Kuu Uingereza 2014/2015

    September 13 19:45Arsenal? - ?Manchester City 22:00Chelsea? - ?Swansea City 22:00Crystal Palace? - ?Burnley 22:00Southampton? - ?Newcastle United 22:00Stoke City? - ?Leicester City 22:00Sunderland? - ?Tottenham Hotspur 22:00West Bromwich Albion? - ?Everton September 14 00:30Liverpool? -...
  3. G

    Bunge Lakataa Elimu ya Kidato cha Nne kwa Wabunge

    Bunge Lakataa Elimu ya Kidato cha Nne kwa Wabunge, Pendekezo la Rasimu ya Katiba kuwa wabunge walau wawe na elimu ya kidato cha nne limetupiliwa mbali na wajumbe wa Bunge Maalumu, baada ya Kamati karibu zote kulikataa. Kamati hizo zimependekeza kigezo cha elimu kuanzia walau kidato cha nne...
  4. G

    Maximo: Jaja ni mfungaji tu

    KOCHA wa Yanga, Marcio Maximo na kiungo Mbrazil, Andrey Coutinho, wamewasikia Simba kisha wakacheka sana, unajua kwanini? Simba baada ya kumuona straika,Genilson Santos ¡®Jaja¡¯ juzi Jumatano Uwanja wa Taifa walibeza sana wakadai kumbe hana lolote ni maneno tu ya kishabiki mtaani. Simba...
  5. G

    Duh! Kumbe Yanga ilimsubiri Tambwe bandarini

    Share YANGA kumbe wajanja sana kwani walikuwa wanaisikilizia Simba kama ingemtema straika Amissi Tambwe tu, fasta ingemsubiri bandarini Dar es Salaam na kumsajili kwa dau la Sh48.7 milioni kisha ingemtema Genilson Santos Jaja. Baada ya kumjumuisha kikosini mwake, Emmanuel Okwi, Simba ilitakiwa...
  6. G

    Hatima ya Bunge la Katiba mikononi mwa rais Kikwete

    Dodoma, Hatima ya Bunge Maalumu la Katiba imebaki mikononi mwa Rais Jakaya Kikwete, ambalo limemwandikia barua kiongozi huyo wa nchi kutaka ufafanuzi wa kisheria kuhusu tarehe ya mwisho ya kumaliza vikao vyake. Hiyo ni kutokana na muda uliopangwa kwenye ratiba ya bunge hilo kuzua utata wa...
  7. G

    Kitaifa Hatima ya Bunge la Katiba mikononi mwa JK

    Dodoma. Hatima ya Bunge Maalumu la Katiba imebaki mikononi mwa Rais Jakaya Kikwete, ambalo limemwandikia barua kiongozi huyo wa nchi kutaka ufafanuzi wa kisheria kuhusu tarehe ya mwisho ya kumaliza vikao vyake. Hiyo ni kutokana na muda uliopangwa kwenye ratiba ya bunge hilo kuzua utata wa...
  8. G

    Wanafunzi Shule za Msingi Wakithiri Kwa Ngono ya Kinyume na Maumbile

    UTAFITI uliofanywa na mradi wa PREPARE uliokuwa na lengo la kuangalia uwezekano wa vijana kupunguza ngono, umebainisha elimu ya afya ya uzazi bado inahitajika ili kuwakinga na tabia hatarishi. Akitoa matokeo ya awali ya utafiti huo, mmoja wa watafiti wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi...
  9. G

    Mainda afunguka kuhusu mume wake mtarajiwa

    Mtarajiwa Alionyeshwa na Mungu Katika Maono Mainda Afunguka Kuhusu Mume Wake Mtarajiwa Alionyeshwa na Mungu Katika Maono Na Mayasa Mariwata STAA wa filamu Bongo ambaye amejikita kumtumikia Bwana kwenye wokovu, Ruth Suka ¡®Mainda¡¯ amesema kamwe hawezi kuainisha sifa za mwanaume...
  10. G

    Wema Sepetu

    Yote Yanayosemwa ikiwemo Issue ya Kuajiriwa na Kajala. sikiliza Wema Sepetu Akizungumzia Yote Yanayosemwa ikiwemo Issue ya Kuajiriwa na Kajala. Kupitia mitandao na magazeti siku chache zilizopita ilitoka stori ambayo ilidai Kajala anaelekea kumuajiri Wema Sepetu,leo Wema kapatikana na...
Back
Top Bottom