Recent content by Godfrey phares

  1. G

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nahitaji kuwa speaker, informer & psy

    Labda ujaribu kunieleza wewe na uwezo wako mkubwa wa kufikiria abbreviation ya Pyschology ni ipi?....Sio kila jambo linahitaji kukaza ubongo sawa ndugu
  2. G

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nahitaji kuwa speaker, informer & psy

    Sijamaanisha ulichokielewa wewe walio nielewa nazani umeona wamenijibu. Usikurupukie kitu jaribu kulegeza akili uelewe hata kam kuna makosa ya uandishi.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nahitaji kuwa speaker, informer & psy

    Asante. Ushaur mzuri
  4. G

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nahitaji kuwa speaker, informer & psy

    Actual sina mpango na political matters my nahitaji ku deal na jamii na kuhusu kusoma ni mpaka sasa nimesoma vitabu vingi na hata elimu ninayochukua chuo ni inahusu pia mambo ya jamii ninachohitaji ni groups za watxap and organisation ambazo zitaniiunua from my individual effort
  5. G

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nahitaji kuwa speaker, informer & psy

    Habari zanu wapendwa ninachohitaji ni ushauri na Hata msaada kwa ambaye anaweza kunisaidia kufikia ndoto zangu. Nina Ndoto zakuja kuwa Speaker,motiveter & informer hasa katika mambo yanayo izunguka jamii yangu na Nafsi yangu inaamini nina iyo Taranta na nguvu ya kufanya hivyo vitu ila nashindwa...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Bandugu hebu tuelimishane kuhusu umuhimu wa ku-update software kwenye simu za samsung

    Natumia Samsung note 4 Model N910H ila kuna mda inaaandika No sim card restart the nikishafaya ivyo inakaa sawa ili tatizo chanzo chake ni nini?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Bandugu hebu tuelimishane kuhusu umuhimu wa ku-update software kwenye simu za samsung

    Naitajia maelezo nielewe umihimu wa ku update Android software na Hasara usipo update android
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Vipi leo bandugu championaship imekaa sawa tuweke mizigo?
Back
Top Bottom