Recent content by godfrey nyanja

  1. G

    JamiiForums Tanzania ''Mwanangu, babako amekufa''

    Hapa yawezekana hata wewe mwanamke kuna mabaya uliyomfanyia huyu jamaa japokuwa sijui, pengine tungemsikiliza mwanaume angekuwa na ya kukulaumu wewe maana wanawake nao sometimes ndiyo kikwazo tena kikwazo hasa japo si vizuri kutomhudumia mwana wa damu yako. Kama Mungu amekujaalia kipato...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nyerere hakung'atuka

    Hapa naona pumba tu hakuna hata mantiki kumuongelea Nyerere ambaye hayupo lakini akili yako na ya bibi yako mkizichanganya kwa pamoja hamuwezi kumfikia Nyerere yeye hayupo lakini maneno yake yanaishi
  3. G

    JamiiForums Tanzania Ya Symbion na Pesa za MCC yaibuka upya kule Marekani

    Sisi watanzania tulichotaka ni umeme, bila kujali kampuni ni nani, ni ya wapi au inamilikiwa na nani..... Nadhani hapa kuna tatizo, maana huwezi kumuokota tu mtu bila kujua japo background yake na kumleta nyumbani kwako ili akupe huduma, vipi akikuibia utamtafutia wapi? Mtu ambaye unaweza...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mawio huu ni udhalilishaji, Nape funga huo ujinga

    Kama amemfunga Kamba za viatu kweli na akapigwa picha udhalilishaji uko wapi? Kama hiyo picha imeeditiwa sawa ni udhalilishaji lakini Kama kafanya kwa mapenzi yake sioni udhalilishaji
  5. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nilibakwa na majambazi nimepata ujauzito

    Usitoe hiyo mimba dada kumbuka kila kitu hutokea kwa sababu. You never know kwanini imetokea hivyo. Omba Mungu maana anajua zaidi na ana sababu na wewe
  6. G

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege kwanuka dhuluma, wamenitoza ushuru kisa mashati mawili mapya

    Sasa kama umenunua yako ya kuvaa lebo za nini tena mbona unaniangusha na wewe
  7. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Nov 17, 2015: Job Ndugai achaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 11 la JMT

    Hapo Chenge lazima akware kijisent kama kawaida yake maana hapendi harufu ya ankara impite
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, Sumaye, Lowassa na hekaya za abunuwasi

    Kijana mzima na akili zake timamu pengine mzazi wake kajitahidi kumsomesha angalau aje amsaidie baadaye leo hii maisha yake bado magumu lakini unakuta anachukuwa muda mwingi sana kuishabikia ccm kana kwamba yeye hajui madudu, ulafi, ukandamizaji na mipango mibovu inayofanywa na ccm. Huwa...
Back
Top Bottom